Kwani Soka ni Mangi kwamba tuacheModeretor usifute Uzi
PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
Hatumtaki hata bila kupoteza wautModeretor usifute Uzi
PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
Kwanini asigombee kwao Zanzibar?Mbeya na Songwe hatofika kabisa
Sasa huku si inabidi alaumiwe homeboi Mafwele??Mbeya na Songwe hatofika kabisa
Tatizo kuna wachaga wengi mnagombea vyeo kupitia hiyo hiyo CCM anayoiongoza mama yenu.Moderetor usifute Uzi
PASIPO Mh Rais kuja na majibu ya wapi alipo SOKA tafadhali USIJE kuomba kura tafadhali sanaaa
Bila kuonekana Mdude huyo bibi yenu asikanyage Green CityModeretor usifute Uzi