Bora Nissan,hiyo Mitsubishi ni jini mkata kamba.Magari ya NISSAN na MITSUBISHI (ukiondoa malori), mengi yanalalamikiwa sana.
Mfanya biashara wa yadi ya magari wa bongo anaagiza gari kutoka Asia limetembea kilomita laki 4 kasoro...Gari ni matunzo, kama huwezi kulihudumia gari lako, nakushauri ununue baiskeli tu
Kuna mdau hapo juu ameeleza changamoto ya Mitsubishi, Mimi natumia kwa miaka mingi sasa na sijaona changamoto zake
Useme nazingatia service, Kila baada ya miezi 2 lazima nipeleke garage ili walichunguze chunguze maana napenda kutumia kusafiri nalo safari za mbali
Umesema sahihi Mkuu, changamoto tunanunua gari second hand tena humuhumu show room zetuMfanya biashara wa yadi ya magari wa bongo anaagiza gari kutoka Asia limetembea kilomita laki 4 kasoro...
Analeta yadi anarudisha nyuma mileage inaonekana ni kilomita 50,000 imeenda, mbongo ananunua anatembea nalo miaka miwili, anamuuzia mwenzake, mnunuzi kwa kutozingatia matunzo gari linaharibika... mnunuaji wa mwisho anaanza kutangaza habari kila kona 'gari flani ni bovu sana'... 'usinunue gari flani ni mabovu sana hayo magari'...
Mimi hizi story za kusema gari flani ni bovu ni vyema huyo anayesema aje na uthibitisho hapa kwamba alinunua 0 kilomita kutoka Japan halafu likaharibika mikononi mwake... tofauti na hapo siwezi kuchukulia serious....
Gari zenyewe wabongo wengi wanaomiliki, kuanzia Japan hadi bongo gari imemilikiwa na watu watatu ama wanne tofauti....
Hio Nissan kuna mtu anayo, anakwenda nayo shamba na anabebea mizigo, sijawahi kuona analalamika shida yake, alikuwa na Nissan na amenunua tena hio hio Nissan zote Murano ila model year tofauti, ikiwa na maana ana experience nazo nzuri hizo gari....
Kwanza ukiagizq Gharama yake ndogo kuliko yard! Sijawahi kununua gari yard @ gari naagiza hukoUmesema sahihi Mkuu, changamoto tunanunua gari second hand tena humuhumu show room zetu
Ila gari ukiagiza Japan moja kwa moja, haliwezi kusumbua ukizingatia service
Unataka aseme umtangaze, usione magari yanatembea wamiliki wana mengi moyoniIla kuna mtu namfahamu anayo sijawahi kuona analalamika, na anaitumia kila siku...
Hivi hii haishare engine na gearbox na dualis?