Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,468
- 32,167
Ukishasikia hii kauli jua hatari kaa mbaliNissan Murano tatizo mtu katoka kumiliki Toyota ghafla kahamia Nissan Nissan inahitaji matunzo sana. Kama Subaru lakini watu wananunua tuu
Ukishasikia hii kauli jua hatari kaa mbaliNissan Murano tatizo mtu katoka kumiliki Toyota ghafla kahamia Nissan Nissan inahitaji matunzo sana. Kama Subaru lakini watu wananunua tuu
Aisee
Hizi story zina kaukweli! Mfano ni Nisan xtrail. Huwezi sikia hizo mambo kwa Toyota karibu aina zoteMfanya biashara wa yadi ya magari wa bongo anaagiza gari kutoka Asia limetembea kilomita laki 4 kasoro...
Analeta yadi anarudisha nyuma mileage inaonekana ni kilomita 50,000 imeenda, mbongo ananunua anatembea nalo miaka miwili, anamuuzia mwenzake, mnunuzi kwa kutozingatia matunzo gari linaharibika... mnunuaji wa mwisho anaanza kutangaza habari kila kona 'gari flani ni bovu sana'... 'usinunue gari flani ni mabovu sana hayo magari'...
Mimi hizi story za kusema gari flani ni bovu ni vyema huyo anayesema aje na uthibitisho hapa kwamba alinunua 0 kilomita kutoka Japan halafu likaharibika mikononi mwake... tofauti na hapo siwezi kuchukulia serious....
Gari zenyewe wabongo wengi wanaomiliki, kuanzia Japan hadi bongo gari imemilikiwa na watu watatu ama wanne tofauti....
Hio Nissan kuna mtu anayo, anakwenda nayo shamba na anabebea mizigo, sijawahi kuona analalamika shida yake, alikuwa na Nissan na amenunua tena hio hio Nissan zote Murano ila model year tofauti, ikiwa na maana ana experience nazo nzuri hizo gari....
Yes hata wazungu wanashauri Toyota !Tunaona mitandaoni mafundi wazungu wanasema gari nzuri zinazodumu ni TOYOTA. Mkazi wa Pugu unatuambia gari ni matunzo. Tumsikilize nani?
Sasa watu wote nchi nzima tutanunua Toyota jamani? Sasa hii itakua nchi au branch ya Toyota! Wengine tunapenda variety hata kama zina matatizo tunapambana nayo na hatulalamiki!Tunaona mitandaoni mafundi wazungu wanasema gari nzuri zinazodumu ni TOYOTA. Mkazi wa Pugu unatuambia gari ni matunzo. Tumsikilize nani?
Ulishamiliki hio gari 0 kilomita kutoka Japan?Unataka aseme umtangaze, usione magari yanatembea wamiliki wana mengi moyoni
Nadhani Nissan zina namna yake ya kuzitunza tofauti na toyota..Hizi story zina kaukweli! Mfano ni Nisan xtrail. Huwezi sikia hizo mambo kwa Toyota karibu aina zote
10 kwenye buku. Wakati Nissan ni 200 kwenye buku.Sasa watu wote nchi nzima tutanunua Toyota jamani? Sasa hii itakua nchi au branch ya Toyota! Wengine tunapenda variety hata kama zina matatizo tunapambana nayo na hatulalamiki!
Hizo Toyota zenyewe sio kwamba ndio hazisumbui, kuna watu zimewapiga kitu kizito hawataki ata kuzisikia.
Ishu sio Zero kilometer,mbona nyingine zinanunuliwa na laki 2 km na zinadumu, ukiona mpaka iwe zero Km ndio idumu basi tayari inashida,Ulishamiliki hio gari 0 kilomita kutoka Japan?
Kumbe inafaa kwa kamupeni kabisaHii gari Roma (msanii) aliwahi pandishwa ilikuwa na sunroof miaka hiyo ya kiza awamu ya kwanza ya Jakaya Ukumbi ambassador pub Geita mji ulizizimaa
Yale Yale!!!Ndoto yangu ya land lover iko pale pale
UMenikatisha tamaa.Nilitaka kununua mitsubish outlander plug inMagari ya NISSAN na MITSUBISHI (ukiondoa malori), mengi yanalalamikiwa sana.
Mjomba, usikubali kukatishwa tamaa kirahisi hivi. Sisi wengine hayo magari hatujawahi kumiliki. Tunasikia tu malalamiko ya hapa na pale.UMenikatisha tamaa.Nilitaka kununua mitsubish outlander plug in
Utajuaje sasa kama wewe ndio umeangukia kwenye hiyo 10?10 kwenye buku. Wakati Nissan ni 200 kwenye buku.
Sasa hizo ni rare situation ni kama magonjwa fulani adimu. Ikikuangukia ni bahati mbayaUtajuaje sasa kama wewe ndio umeangukia kwenye hiyo 10?