RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Toyota ni namba moja kwenye reliability. Lakini haina maana magari mengine ni mabovu. Hata Toyota usipoipa matunzo inakufa. Toyota zinaharibika sana ila kuna mawili.Tunaona mitandaoni mafundi wazungu wanasema gari nzuri zinazodumu ni TOYOTA. Mkazi wa Pugu unatuambia gari ni matunzo. Tumsikilize nani?
1.Zile za zamani fake parts za kumwaga bei ya kutupa ndio maana husikii vilio.
2.Toyota za bei kama LC200,Prado 150 zinakufa engine na gearbox sana kwasababu ya oil fake. Ila husikii vilio kwasababu wenye nazo wanajiweza.
Mimi binafsi nina Toyota,Mazda na VW.
Toyota nishabadili fuel pump,gearbox solenoide yaani nilinusurika kubadili gearbox nzima, rear diff nishabadili.
VW hadi sasa hivi sijabadili any major part ingawa matumizi yake sio intense kama Toyota.