figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kama Baba usipoijaza hiyo nafasi, mtoto ataitafuta mtaani.
Kama Mama hajajaza roho ya mtoto wa kiume, ataitafuta nje.
Tuishi na watoto kwa upendo.
Mtoto akioa ndo Mama anajiondoa.
Na Mtoto akiolewa Baba kaa pembeni.
Msipojiondoa kwenye urafiki wa mtoto, ndoa za watoto hazitadumu.
Kwa sababu Watoto watashindwa kujua nani aanze, Mzazi au Mpenzi?