Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Updates 24.07.2020
Kifo Cha mwanamapinduzi wa uchumi was Tanzania Mh Benjamin William Mkapa. Rest in peace Father
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen
 
Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo.

Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!!

Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!
 
Back
Top Bottom