Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Nikama mchezo wa wa masihara vile ila utaunguza. Nyumba.

Nimoto mkali sana utakao badilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. tulisha tabiri ila sasa itakuwa kweli pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us. Amen
Lumumba fanyeni kweli basi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa lipo IMARA kuliko WAZANDIKI wanavyofikiri.
Hakuna lolote endeleeni na maisha kwa wale wenye nia njema na nchi yenu kila kitu kipo under control.

TAIFA HILI LIPO KWENYE MSINGI WA MAWE SIO TOPE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Nikama mchezo wa wa masihara vile ila utaunguza. Nyumba.

Nimoto mkali sana utakao badilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. tulisha tabiri ila sasa itakuwa kweli pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us. Amen
Tanzania tuna chakula cha kutosha nchi zote za ukanda huu zinatutegemea.
 
Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!
Matapeli wa dini mnajilisha upepo
 
Sote tutapita. Tanzania itabaki. Tukumbuke hilo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mojawapo ya uzi wenye kusababisha taharuki.
Mleta mada omba mods wafute uzi huu.
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Nikama mchezo wa wa masihara vile ila utaunguza. Nyumba.

Nimoto mkali sana utakao badilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. tulisha tabiri ila sasa itakuwa kweli pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us. Amen
Tusitishane,,mtikisko wa Nini kwa mfano?
 
Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!

Huu ni upuuzi. Vatican wamefunga makanisa. Saudi Arabia wamefunga misikiti. Nyie wanafiki ambao mchana mnaimba jina la Mungu usiku mna tunguri ndo mwajifanya wacha Mungu? Acheni dhihaka hizi.
 
Sisi tupo pamoja na Rais kwamba Mungu lazima aendelee kuabudiwa na yeye ndiyo tegemeo letu,lkn nyinyi mnaolaumu hv mnataka rais afanye Nini kwa Sasa? Mbona hamtoi muongozo mmebaki kulaumu tu? Huu ugonjwa mbona haukuanzia Tz? Kuna jambo gani marekani na ulaya wamelifanya ambalo TZ hatukulifanya? Hao waliopiga watu lockdown kwann vifo bado vinaendelea tena kwa kiwango Cha kutisha? Nasema hv sisi tutafuata maelekezo ya wataalam lkn kuabudu Mungu hatuachi, yeye tu ndo atakaetuepusha inshaallah.
 
[/QUOTLabda unisaidie Kuna uhusoano gani Kati ya Uzi wa jamaa na ulichokiandika Yani covid 19 kusali makanisa na rais? Hebu tusaidie kuunganisha dot.
 
Back
Top Bottom