Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!