Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina
Hii picha inahtaji maelezo maana sielewi hapa Mkulu ana dance au ana sinzia?Unashema?
View attachment 1448331
Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!
Sasa huyo Mungu apigane na nani?Mhuu haya nawe nawe au ulisha tumbuliwa mzee maana unakuja na mafumbo mafumbo tu hapa
Ila nchi IPO pabaya sana mungu atupiganie tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hali ni shwari kabisa na kila kitu kipo sawa.
hii ni tanzania sio somalia wala djibout.
tanzania ipo makini sana kwa africa.
kama ni corona tunaishinda muda mchache ujao.wenye kuiombea mabaya tanzania yatawarudia wao na familia zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods, uzi huu uunganishwe na ule wa kula tunda kimasihara
Mbona vitu hivyo vinasemwa kila siku na vipeperushi vimetolewa na serikali hii hii unayo dai hajui sanitizer n.k .Mkuu bwana kwenye vita vyake hahitaji sanitizer, kunawa nawa mikono na maji tiririka wala barakoa.
Bwana hahitaji kufunga mashule.
Kukataa kufuata mbinu wanazo fuata wenzetu na kuudhibiti huu ugonjwa chini ya WHO na kumsingizia bwana, huko ni kumjaribu bwana Mungu wako.
Pana "Ole" ya wazi kwa wamjaribuo bwana Mungu wao.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mods, uzi huu uunganishwe na ule wa kula tunda kimasihara
Mayahudi nao walikua wanajichanganya na mambo ya Dunia kwa kupindisha sheria na kujiona wao wana hekalu la kukutania lakini walilenga fedha na biashara ndani ya hekalu.
Walijua Mungu anakaa ndani ya hekalu lililojengwa na binadamu.
Yesu akawaambia kuwa siku zinakuja ambapo watu watamuabudu Mungu katika Roho na kweli na sio kule Yerusalem wala kwenye mlima .Matokeo yake hata Hekalu lao lilivunjwa kwa sababu ya unafiki wao wa kumkataa Masihi na Mfalme wa Haki Yesu Kristo.
Leo tunaweza kufungua milango ya misikiti na Makanisa lakini bado inatupasa kufanya toba ya kweli na kutenda haki kwa wote.
Kuna siasa za dhulma duniani na hasa miaka hii ya kuanzia 2015 kuendelea mpaka sasa Dunia imekua na viongozi wababe sana waliojiona kuwa Miungu watu. Matokeo yake wote wameufyata mbele ya kirusi cha Corona kisichoonekana kwa macho. Tanzania pia tulikuwa na baadhi ya viongozi wasiojali maumivu ya wengine. Leo nao wameanza kutubu na kujishusha kama binadam.
Ni kweli tunahitaji sana kuomba Mungu na kutubu kweli mana kwa miaka ya hivi karibuni haki ilikua inayumbishwa sana na watawala. Maisha ya watu yalikosa thamani kabisa. Kuna watu walikua wanahamasisha mauaji mpaka Bungeni na kwenye mitandao kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa.
Hao watu kwa kweli ni lazima watubu kweli vinginevyo yanayotokea duniani ni stahili ya kizazi hiki kinachoshabikia uovu na viongozi katili wasiojali uhai wa mtu mmoja mmoja.
Hongera sana kwa wale walioona dhambi waliyoifanya kwa Taifa na kuamua kutubu na kujinyenyekeza kwa Mungu.
Waendelee na utakatifu huo huo mpaka October kwenye Uchaguzi wasimamie Uchaguzi huru na wa haki ili tupate viongozi wachaMungu na waadilifu. Huwezi kusema unamuomba Mungu akutendee haki wakati wewe hutendi haki.
Huwezi kumwomba Mungu asimamie maandiko yake wakati wewe hausimamii vyema sheria zinazoongoza eneo lako. Kila mtu atende haki na kumwona mwenzake ni bora kama yeye binafsi. Tusibaguane kisiasa wala Kikabila ndipo tutakapoona umuhimu wa kuacha milango ya nyumba za ibada wazi. Vinginevyo ni kumdhahaki Mungu. Na janga hill la Corona ni LA Dunia nzima ikiwa na maana kuwa ni pigo kama yale ya Wamisri enzi za Farao.
Watawala wa Dunia wamekua waovu sana. Walafi,wazinzi, washirikina, wabinafsi, wenye tamaa, watesaji, wapenda majivuno, wanaopenda kuogopwa na kutukuzwa kuliko Mungu unabidi wajishushe kwa kulazimishwa na kiumbe kidogo kabisa kinachoitwa Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijizibe MACHO na MASIKIO kwa vidole,
La MIPAKA lilisemwa , UKABISHA KWA KEJELI,
MIPAKA HAIJAFUNGWA?
Kweli nimeona huko mpakani Chadema wanawazuia Madereva wa Tanzania kuingia Mombasa ,,wakati Madereva wa Mombasa wanaruhusiwa kuingia TangaUsidanganyike na mambo ya mihemuko mtandaoni Mkuu
Nchi ipo shwari
Hao Chadema wakishashiba lazima waingie mtandaoni kupiga umbeya
TUNAPIGWA LOCK DOWN NA MAJIRANI WOTE,,,Tanzania iko juu ya Mwamba imara sanaa hasa hiki kipindi cha awamu hii ya tano.
Mtikisiko wowote utakuwa ni wa kuimarisha zaidi wala si kubomoa.
"Tanzania is under His eyes"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri mzuri sanaWewe ni mpumbavu masaa 24 unawaza mambo ya CCM na chadema
Haya ni Madhara ya kutokuwa na kazi za kufanya na ya kimaskini
Mtu smart kichwani hawezi masaa 24 yupo mtandaoni kujadili ccm na chadema
Tafuta pesa mkuu, Muda unapoteza utaumbuka uzeeni
Hao ccm na Chadema hasa viongozi wa juu ni matajiri wa kutupwa wewe ngumbaru fanya kazi
Chukua tahadhari ugonjwa huu ni hatari, acha kumjaribu MUNGU, alikupa akiri na maarifa acha kumjaribu MUNGU kwa kigezo cha ulokole, kumbuka walokole wote ni mataperi wa kutupwa akina gwajima, lusekelo mwamposha, hao wasikutaperi Chukua hatua acha kumjaribu MUNGU tumia akiri na ufaham aliokupa MUNGU, pia tumia mbinu za kisayansi acha kujitekenya, jitahid kuokoa taifa na watu wake, had sasa kuna wachungaji na mashehe zaid ya kumi wamepoteza maisha, Kama wewe, na Mimi na Yule na wao tungeungana kwa pamoja na kutumia mbinu za kisayansi pengine tungewaokoa wachungaji wetu na mashehe wetu, narudia acha kumjaribu MUNGU Chukua hatua na tahadhariVita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!
Hawa watu wa namna hii uwe unafanywa mpango wanakamatwa halafu wanahojiwa vizuri. Halafu anaonekana ni layman tu, hana ujanja wowote hivyo hawezi kusumbua namna ya kumpata alipo wenye mamlaka yao wakimhitajiKila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Amen
Yaaani huyu zwazwa, ni zaidi ya Juha!Kila mtu humu alishakuona kituko,kichwa wazi na limbukeni,hivyo pumzisha ujinga kidogo
Ukiumwa KOLONA🐑 ucende kutafuta dawa jifungie chumbani kwa mumeo uombe mungu tu utapona🐵🐵🐵Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo.
Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!!
Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!