Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Title ile ile, contents editable.

Wanasema pori jipya nyani wale wale.
Ingeleta maana kama nyani ni wapya ila pori ni lile lile, maana nyani huzaliana na hufa au kuhama.
 
Ingeleta maana kama nyani ni wapya ila pori ni lile lile, maana nyani huzaliana na hufa au kuhama.

Wanasema ulimi hauna mfupa sembuse kuandika mkuu?

Mambo mengi: kuchapa kazi, misiba, viingereza, ujio wa mashujaa, nk.

Nitapa rejea na Kupa review. Two in one.
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Updates 24.07.2020
Kifo Cha mwanamapinduzi wa uchumi was Tanzania Mh Benjamin William Mkapa. Rest in peace Father
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen
Jambo linalotishia usalama wa nchi na raia wake ni kwa Mataifa makubwa kuingilia masuala ya ndani ya nchi zinazoendelea kutokana na ama kwa maslahi yao (hasa ya kiuchumi) au uchu wa madaraka wa viongozi wake kwa kile kinachodaiwa utawala wa kidikteta. Mifano ni mingi km Libya, Iraq, Afghanstan, Somalia nk
 
Punguza basi kujisifia kamanda....[emoji16][emoji16][emoji16]

Utumie uwezo huo kwa faida ya wengi na siyo kuumiza watu. Fungua kituo/kanisa usimame katika haki uweze kusaidia watu kama uwezo wako huu unakupa nguvu za kuombea watu mambo mema na yakawatokea. Usiutumie kutendea mabaya tu kama nilivyokusoma kwenye ule uzi mwingine ambako watu uliowatakia mabaya wengi kweli mabaya yaliwatokea. Kama ni uwezo wa Mungu basi utumie kutendea mema na kusaidia watu. Kama ni uwezo wa nguvu za giza basi endelea kuutumia hivi hivi ...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sijisifii wala sitaki sifa Mungu mtowaji. Mwisho kawaida Sana
 
Back
Top Bottom