Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Updates 24.07.2020
Kifo Cha mwanamapinduzi wa uchumi was Tanzania Mh Benjamin William Mkapa. Rest in peace Father
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen

Updated post!

Over
 
Sometimes manabii kumbeni wa kweli eheee
 
Kweli mtumishi toba ni muhimu. Tujinyenyekeze kwa Mola wetu kwani tunamkosea sana kama taifa. Chuki kati ya mtu na mtu, jamii na jamii imezidi siku hadi siku. Siasa zimeligawa taifa, rushwa,ufisadi. Maasi kama ukahaba uzinzi, wizi, ujambazi, utapeli wa kiimani, manabii wa uongo nk. vimehalalishwa.
Mungu ana Kanuni(principles) za kusikia na kujibu MAOMBI ya watu wake.
Kama wewe ni mkristo kweli fuatilia Habari ya Nabii Yona alipotumwa na Mungu kwenda Jiji la Ninawi baada ya maasi. Mungu alikuwa amedhamiria kuiangamiza Ninawi lakini aligaili baada ya Mfalme, Watu kuvaa magunia na Wanyama kutubu dhambi na makosa yao!!
Je, Magufuli na Watz na Wanyama wamefanya hivo?
Bila TOBA ya kweli Mungu hawezi kusikia maombi ya Mnafiki!
Upo sahihi mtumishi Luka 21:28
Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia.
 
Nina uwezo wa ajabu Sana Sana kissing najiogopa
Punguza basi kujisifia kamanda....[emoji16][emoji16][emoji16]

Utumie uwezo huo kwa faida ya wengi na siyo kuumiza watu. Fungua kituo/kanisa usimame katika haki uweze kusaidia watu kama uwezo wako huu unakupa nguvu za kuombea watu mambo mema na yakawatokea. Usiutumie kutendea mabaya tu kama nilivyokusoma kwenye ule uzi mwingine ambako watu uliowatakia mabaya wengi kweli mabaya yaliwatokea. Kama ni uwezo wa Mungu basi utumie kutendea mema na kusaidia watu. Kama ni uwezo wa nguvu za giza basi endelea kuutumia hivi hivi ...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Huyo ndugu tangu nimuweke kwenye ignore list naona amepotea kabisa jukwaani

Wapo kadhaa kwenye ignore list yangu huyu hakuwamo.

Hao waliomo siku moja moja huwa naona kiji 'pop-up' kuwa nao wametia neno basi miye kimoyomoyo natoa 'kongole' kwao mods kwa kazi iliyotukuka.

Huyu lager yetu hakuwa na matusi ya kijinga jinga lakini, kuna lililomsibu. Haya maisha hayana mwenyewe. Na hasa kwa zama hizi, wengine mbona tulishaaga zamani kwenye ule uzi wetu pendwa:

Buriani
 
Kifo cha Mkapa ulitabiri mwezi May? Niliusoma huu uzi wako na hukutabiri kuhusu kifo cha Mkapa wala kuumia kwa Mbowe.

Huwez Amin sina mahusiano nao japo nawapenda sana
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Update
Mabadiliko ktk katiba
Lissu kuongea , watanzania jambo limetikisa siasa zetu hasa ikizingatiwa anautaka Urais
Mbowe kujeruiwa dodoma
Updates 24.07.2020
Kifo Cha mwanamapinduzi wa uchumi was Tanzania Mh Benjamin William Mkapa. Rest in peace Father
Next
Yasio julikana kujulikana...
Pray for the nation
Amen
Kwa hiyo utabiri wako utakuwa unaongeza matukio kila siku? Kama hukuyaweka ulipoandika mwanzoni, usijaribu kuchota hisia za watu na kulazimisha mambo kuwa uliyatabiri wakati si hivyo.
 
Siyo mtabiri huyu muuaji tu. Turudishie Ben Saanane wetu. Dhambi zinamtesa.
 
Kwa hiyo utabiri wako utakuwa unaongeza matukio kila siku? Kama hukuyaweka ulipoandika mwanzoni, usijaribu kuchota hisia za watu na kulazimisha mambo kuwa uliyatabiri wakati si hivyo.

Title ile ile, contents editable.

Wanasema pori jipya nyani wale wale.
 
Back
Top Bottom