Sote ni wapangaji Hakuna mwenye hati ya kuishi milele,Kama unatoa roho za wenzio nawe itatolewa,kifo pekee ndo uunganisha mtawala na mtawaliwa, tajiri na masikini.
Maisha ya dunia ni ya kuukimbiza upepo.
Utakuwa umenifananisha na kina manjagata, tz mbogo, na wale wengine lb7?
Usitake ncheke.
Mbona utakuwa umenipa sifa za ujenerari wakati hata ukuruta chapa nyau chapa vumbi sina?
Hiiiii bagosha!