JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Askari wa mkoloni wanamgeuka au wananchi , au wote kwa pamoja?Kama ni wa kumfurusha mkoloni ni Jambo jema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari wa mkoloni wanamgeuka au wananchi , au wote kwa pamoja?Kama ni wa kumfurusha mkoloni ni Jambo jema
Acha kuiombea nchi yetuKila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Amen
ben alipaswa awe smart kuwaelewa watu kama huyu.Soma comment ya mtoa mada alipokuwa anamjibu ndg/late Ben mwaka 2016...[emoji116]
"Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati...
Take care this is a nation kaa mbali"
Combination,mabosi zao ndio wanufaikaAskari wa mkoloni wanamgeuka au wananchi , au wote kwa pamoja?
Alikijua kikombe kwa nje,sawa na wakenya wanavotamani sababu awakijui kwa ndani.Mpe pesa au madaraka uijue tabia yakeben alipaswa awe smart kuwaelewa watu kama huyu.
ni ujinga kufanya harakati kama kichaa.
Watu waovu uchelewa kufa kuliko watu wema.Mda mfupi Kama taifa tumepoteza watu wenye faida kwa Jamii ,Mfuruki,Mengi,Ruge,Rwakatare,Mitimingi, kuliko wasio na faida ambao ni ngumu kuziba mapengo yaoNaskia covid imepiga hodi kwa jiwe, kwa kweli tuzidi kumuombea tu.
Ndio maana tunasema humu kila siku, bible ni uzushi /story za kutunga tu, hivi wanyama walitubu vibi hapo kwamfano?Mungu ana Kanuni(principles) za kusikia na kujibu MAOMBI ya watu wake.
Kama wewe ni mkristo kweli fuatilia Habari ya Nabii Yona alipotumwa na Mungu kwenda Jiji la Ninawi baada ya maasi. Mungu alikuwa amedhamiria kuiangamiza Ninawi lakini aligaili baada ya Mfalme, Watu kuvaa magunia na Wanyama kutubu dhambi na makosa yao!!
Je, Magufuli na Watz na Wanyama wamefanya hivo?
Bila TOBA ya kweli Mungu hawezi kusikia maombi ya Mnafiki!
Tatizo kuna vijana wakichukuliwa toka vyuoni wakalishwa ujinga na baadhi ua wanasiasa wanajaa maji kichwani, wakati huohuo hajapambana na maisha au kuwa na kizazi chake (familia)... ni ujinga kufanya harakati kama kichaa.
Wewe ndio ulitaka iwe hivyo. So, umefurahi hapo? Au sio?Tatizo kuna vijana wakichukuliwa toka vyuoni wakalishwa ujinga na baadhi ua wanasiasa wanajaa maji kichwani, wakati huohuo hajapambana na maisha au kuwa na kizazi chake (familia)
Akipewa kagari nyumba na uhakika wa kubadiri cadet na kuingia kituo cha mafuta tayari anakuwa mwanaharakati kisiasa.
(Unakufa kwa chatu kukuminya na kukumeza)
😭😭😭😭😭Rip jiwe
Wewe ndio ulitaka iwe hivyo. So, umefurahi hapo? Au sio?
Wanaofa ya masihara waache, Kuna matatizo mengine ni ya kujitafutia.Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Amen
Honestly, nakuona mtu fulani snitch wa kitengo. Na michezo yenu ya kidhalimu. Fresh lakini kwa kuwa kuna kazi nyingi za kuendesha maisha ila sio kila kazi ni halali ingawa inaweka mkate mezani.Pole naona umeguswa na imeingia sawasawa.
But mnaharibu vijana wafundisheni maisha kwanza!.
God will remember us! Yaani Mungu atukumbuke sisi kasumbufu ambazo hatuna dira wala maono! Tunasahau kuwa Mungu anao watu wengi sana wakuwahudumia sio watanzania pekee ambao tumekuwa wasumbufu kwa kuomba mara mbilimbili hata kabla hajatujibu; huko ni kumpigia makelele ya usumbufu, sema tujiandae kupambana na hali zetu.Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.
Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.
Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.
Amen
Ajabu kubwa sana Mungu hatazami kama mwanadamu atazamavyo🤣🤣God will remember us! Yaani Mungu atukumbuke sisi kasumbufu ambazo hatuna dira wala maono! Tunasahau kuwa Mungu anao watu wengi sana wakuwahudumia sio watanzania pekee ambao tumekuwa wasumbufu kwa kuomba mara mbilimbili hata kabla hajatujibu; huko ni kumpigia makelele ya usumbufu, sema tujiandae kupambana na hali zetu.