Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Kila Mtanzania asali, huenda kukawa na mtikisiko

Mayahudi nao walikua wanajichanganya na mambo ya Dunia kwa kupindisha sheria na kujiona wao wana hekalu la kukutania lakini walilenga fedha na biashara ndani ya hekalu.
Walijua Mungu anakaa ndani ya hekalu lililojengwa na binadamu.
Yesu akawaambia kuwa siku zinakuja ambapo watu watamuabudu Mungu katika Roho na kweli na sio kule Yerusalem wala kwenye mlima .Matokeo yake hata Hekalu lao lilivunjwa kwa sababu ya unafiki wao wa kumkataa Masihi na Mfalme wa Haki Yesu Kristo.

Leo tunaweza kufungua milango ya misikiti na Makanisa lakini bado inatupasa kufanya toba ya kweli na kutenda haki kwa wote.
Kuna siasa za dhulma duniani na hasa miaka hii ya kuanzia 2015 kuendelea mpaka sasa Dunia imekua na viongozi wababe sana waliojiona kuwa Miungu watu. Matokeo yake wote wameufyata mbele ya kirusi cha Corona kisichoonekana kwa macho. Tanzania pia tulikuwa na baadhi ya viongozi wasiojali maumivu ya wengine. Leo nao wameanza kutubu na kujishusha kama binadam.

Ni kweli tunahitaji sana kuomba Mungu na kutubu kweli mana kwa miaka ya hivi karibuni haki ilikua inayumbishwa sana na watawala. Maisha ya watu yalikosa thamani kabisa. Kuna watu walikua wanahamasisha mauaji mpaka Bungeni na kwenye mitandao kwa sababu tu ya tofauti za kisiasa.
Hao watu kwa kweli ni lazima watubu kweli vinginevyo yanayotokea duniani ni stahili ya kizazi hiki kinachoshabikia uovu na viongozi katili wasiojali uhai wa mtu mmoja mmoja.
Hongera sana kwa wale walioona dhambi waliyoifanya kwa Taifa na kuamua kutubu na kujinyenyekeza kwa Mungu.
Waendelee na utakatifu huo huo mpaka October kwenye Uchaguzi wasimamie Uchaguzi huru na wa haki ili tupate viongozi wachaMungu na waadilifu. Huwezi kusema unamuomba Mungu akutendee haki wakati wewe hutendi haki.
Huwezi kumwomba Mungu asimamie maandiko yake wakati wewe hausimamii vyema sheria zinazoongoza eneo lako. Kila mtu atende haki na kumwona mwenzake ni bora kama yeye binafsi. Tusibaguane kisiasa wala Kikabila ndipo tutakapoona umuhimu wa kuacha milango ya nyumba za ibada wazi. Vinginevyo ni kumdhahaki Mungu. Na janga hill la Corona ni LA Dunia nzima ikiwa na maana kuwa ni pigo kama yale ya Wamisri enzi za Farao.
Watawala wa Dunia wamekua waovu sana. Walafi,wazinzi, washirikina, wabinafsi, wenye tamaa, watesaji, wapenda majivuno, wanaopenda kuogopwa na kutukuzwa kuliko Mungu unabidi wajishushe kwa kulazimishwa na kiumbe kidogo kabisa kinachoitwa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu 1000 digits,
Unastahili uanzishe Kanisa.
Nimependa ulivotiririka.....saafi Sana.
Kuna watu hasa Magufuli na CCM yake wanafikri Mungu ni wa kuchezeachezea kwa maombi ya kinafiki ilhali wamejaa dhambi za UUAJI, UONEVU, UBAGUZI na UDIKTETA. Bila Toba ya kweli kwa Rais Magufuli na CCM yake Mungu hatasikia maombi hata kidogo!
Kutubu ni kumgeukia Mungu na kuacha Maovu. Amina.
 
Rais Magufuli na genge lake la ukandamizaji wanajidanganya kwa kutaka kuficha Data za Covid-19!

Kwa Teknolojia ambayo imefikiwa na dunia ni upuuzi kudanganya watu. Kwa kutumia GOOGLE Search engine dunia imeweza kugundua kwamba TANZANIA NI YA 2 KATIKA KUTAKA KUJUA TATIZO LA INSOMNIA(Hali ya kupoteza uwezo wa Kunusa) ambayo kwa Sasa inachukuliwa kama moja ya DALILI KUU ZA COVID-19!!
Kila siku kuanzia 7 May kuna watu 135 kwa wastani wanaoingia kwenye Google search engine kupata maelezo ya mtu kukosa Uwezo wake wa kunusa..,.!!!
 
Watanzania watakufa sana na covid,,,mikusanyiko kwa wamachinga, minadani, vilabu, stand za mabasi na mabar,,,watu hawavai barakoa wala kuosha mikono,,,,na serikl ye2 ipo kimya,,,,inasikitisha sana sana, mtashuhudia vifo ving sana
 
Super...

Hivi ni hakika Ben kafa?

Yupo downtown.. ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumainiel alituambia kwamba alipelekwa kigamboni kwenye kisiwa kimoja huko akamezeshwa chatu Yani chatu akammeza na wavuvi waliona kipande Cha shati chenye damu lililosadikika ni lake Sasa haya ni maelezo ya huyuhuyu mwenye Uzi huu na uzi up humu wakati anamtahadharisha alimwambia sema Ben sema ila Kuna siku utajikuta peke yako hutasema Tena.
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.

Amen

It's obvious !!! But hope we shall overcome whatever is going to happen.
 
Mmh... ... tule Milo super...

Nitag ukiweza tafadhali Mkuu...

Lakini..... ..inua uso super...Down..
Tumainiel alituambia kwamba alipelekwa kigamboni kwenye kisiwa kimoja huko akamezeshwa chatu Yani chatu akammeza na wavuvi waliona kipande Cha shati chenye damu lililosadikika ni lake Sasa haya ni maelezo ya huyuhuyu mwenye Uzi huu na uzi up humu wakati anamtahadharisha alimwambia sema Ben sema ila Kuna siku utajikuta peke yako hutasema Tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo.

Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!!

Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!
Mbona hii vita tumeshaishinda, watu wanahasira sana hadi nikawa nawauliza shida ni nini? Unakuta hadi mtu akifa wanakuwa kama wanashangilia, nawauliza kulikoni shamra shamra juu ya kifo cha mtu, nikaishia kuhisicitakuwa ni roho mbaya kama za kichawi hivi zinawasumbua
 
Usidanganyike na mambo ya mihemuko mtandaoni Mkuu
Nchi ipo shwari
Hao Chadema wakishashiba lazima waingie mtandaoni kupiga umbeya
Soma comment ya mtoa mada alipokuwa anamjibu ndg/late Ben mwaka 2016...👇

"
Ben acha huu upotoshaji kama unajiita wewe kidume basi endelea ila mimi ni shahidi ndani ya mtandao huu umeshaonywa sana.
Ila mimi nataka kukutabiria jambo. Kama kweli hutobadilika nakuendelea na hii mambo basi kifo chako hutopata nafasi kuja kuandika humu na kwa bahati mbaya watu watakuwa wameshasahau sana sana watajuwa umekufa kama binadam wengine ila kumbuka huna uharakati wowote my dia hata punje ya Dr Ulimboka huna sasa jiangalie usitafute umaarufu wakati kifaru kiponjiani unakizuia kisipite kwa mwili wa nyama utakufa na hao unao walaani wala haiwapati...
Take care this is a nation kaa mbali"
 
Kila mtu asali, sali kuliombea hili Taifa. Ni kama mchezo wa masihara vile ila utaunguza Nyumba.

Ni moto mkali sana utakaobadilisha dira na mwelekeo wa taifa hili. Tulishatabiri ila sasa itakuwa kweli.

Pray for the nation pray for your family. We as Tanzanian God will remember us.

Amen
Kuna kimondo kinashuka kwa kasi, kinaikaribia dunia
 
Asante mkuu todays

Back
Top Bottom