immasoft
Senior Member
- Mar 2, 2011
- 188
- 127
Kweli wewe Mbinguni kwetu kwa hiyo Mungu anaguswa na Nyumba za Ibada kutokufungwa.Aisee mnapata wapi hayo maandiko hebu tafuteni kumwabudu Mungu katika Roho na kweli halafu nenda kasome Mambo ya Walawi sura ya 13 na 14 mpaka 15 jinsi ya kudili na magonjwa ya mlipuko badala ya kuja na MihemkoVita hii ni ya Bwana!! Kwenye ulimwengu wa Giza kuna hasira Kali. Kuna kitu Rais Magufuli alikiamua na watu hawakizungumzii moja kwa moja lakini ndiyo chimbuko LA hasira japo baadhi ya waliokasirika sana hata hawajui kwa nini wana hasira kubwa hivyo. Kitu chenyewe ni kutokufungwa kwa nyumba za ibada!! Hapa Tanzania tumemheshimu sana Mungu na tumemtanguliza Mungu mbele kuliko mikakati mingine yote!! Watu wanakejeli!! Watu wanabeza!! Lakini nikwambie hao wote wanaobeza kuna siku watatafuta mahali pa kuficha nyuso zao!! Mungu atailinda Tanzania kwa dhahiri kama alivyiheshimika kwa dhahiri!!