Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Wengine hawajui pikipiki sio injini sio break sio honi sio matairi sio gear, pikipiki ni kile kigudulia kinachopaki spoku za tairi za pikipiki maana bila kile pikipiki haiwezi kua pikipiki na haiwezi kutembea hata ifungwe injini ya boat,

Hio mpya jifunze kutoka kwangu na wewe ipeleke kwenye kijiwe chako cha kahawa,
 
Nimegundua viongozi wengi wa Nchi za Kiafrika nia yao kubwa ni kujinufaisha wao binafsi, pamoja na familia zao na marafiki zao tu na si kuwasaidia kuwanufaisha Wananchi wao.
Wachache mno ndio waliojitoa kwa dhati kwaajili ya Wananchi.(JK Nyerere na JP Magufuli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…