Kila mtu aandike kitu ambacho anaamini watu wengi hawakijui

Mimi nimegundua kama Yanga wameweza kumpa bahasha kipa wa Azam basi Azam hawana pesa ya kumpa Fei Toto😄
Kocha wa AZAM anafanya kusudi AZAM asishinde akicheza na Yanga, no crosses, no long balls, no goal intent, no intensity, kuna wachezaji wa AZAM pia wanakula Rushwa dhidi ya Yanga.
 
Kocha wa AZAM anafanya kusudi AZAM asishinde akicheza na Yanga, no crosses, no long balls, no goal intent, no intensity, kuna wachezaji wa AZAM pia wanakula Rushwa dhidi ya Yanga.
Wewe ni Mbu X 3?
 
Watu wengi hawajui kuwa Oppo Find X6 Pro ina kamera kali kuliko Samsung Galaxy S23 Ultra [emoji28][emoji28]
 
Ukiona mtu anandika hence kwenye maelezo yake ya kiingereza huwa inashangaza kdgo hasa akiwa mtu mzima
 
Ukiona mtu anandika hence kwenye maelezo yake ya kiingereza huwa inashangaza kdgo hasa akiwa mtu mzima
we jamaa kama nimekukosea nisamehe sana naona unanishambulia sana. Niko humu kufurahi sio kugombana na watu.

Nyuzi zangu naomba upite nazo kule potezea sio lazima ujenge ugomvi au taharuki zisizo na lazima.

Dunia ina watu 7billion usipende kuharibu uwepo wangu ndani ya JF. .
 
Kuna neno gani baya lilioandikwa mpka ukajiona JF ni yako.

Wewe ni nani mpka nyuzi zako au comment yako isiwe quoted?

Sasa unaandika madudu mtu asikurekebishe

Grow up
 
Kuna neno gani baya lilioandikwa mpka ukajiona JF ni yako.

Wewe ni nani mpka nyuzi zako au comment yako isiwe quoted?

Sasa unaandika madudu mtu asikurekebishe

Grow up
Unapenda ligi kama mtoto mdogo ay unaona kila mtu unalingana nae.

Neno Hence lina shida gani useme wewe genius. Unatafuta umaarufu kwa sababu za kipuuzi JF kuna post z kutosha unaweza kuchanga yeyote zangu pita kule hatuwezi fanana akili na mawazo. Kama una akili nyingi acha kusahihisha wenye akili ndogo

Either nikue au nisikue wewe inakuhusu nini? Acha kutafuta league pasipo hitajika na bila sababu
 
Mungu hakumuumba mbwa bali binadamu...

Pia kuku anashabihiana kwa ukaribu na mamba kuliko kenge anavyoshabihiana na mamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…