Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Ww hy elimu ya madrasa imekusaidia nnNi fact na ndo ukweli huo...
Tatizo wengi wamepumbazwa na ilmu dunya
Wewe sio mgeni na mimi kabisa...Ww hy elimu ya madrasa imekusaidia nn
Nataka ligi ndio 😎Wewe sio mgeni na mimi kabisa...
Sasa unataka ligi 😂😂😂😂😂😂
Ni fact na ndo ukweli huo...
Tatizo wengi wamepumbazwa na ilmu dunya
Tatizo la kufata ilmu dunyANataka ligi ndio 😎
Maandiko hawasomu hvo we mja..Madrasa ungekuwa unasoma kwa Kiswahili , ungeielewa zaidi.
Hapa naona Allah na Malaika wake wanamsalia Mohamed.
Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake humsalia Mtume; enyi mlioamini, msalieni (Mtume) na mwombeeni amani” (Quran 33:56)
Acha kuvuta bangi..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Upuuzi mtupu...."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Hamna kitu hapo. Dini imebumbwa na Mohamed miaka 600+ baada ya Ukristo. Ndiyo uje useme leo kuwa kila moja anazaliwa muumini wake.Ni fact na ndo ukweli huo...
Tatizo wengi wamepumbazwa na ilmu dunya
Mimi sijawahi kuzaliwa muislamu, usinihusishe na mambo yako..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha