Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Kwa akili yako unaamini Quran ilishushwa?
Wenye IQ ndogo ndiyo watakubaliana na hilo halafu ndani ya Qurani hizi aya😁😁😁
Kushushwa unayolenga wewe sio wanayosema wao mkuu
 
kwa hivyo unaamini wewe kuwa Yesu alizaliwa na ukoo wa kizazi cha zinaa kama ilivyoandika biblia ??

Mbona Yesu alizaliwa wakati mama yake aliolewa na Josef akiwa zee la miaka 90 na yeye akiwa miaka 12
Unajaribu kumlinganisha na zee lenu kwa aisha??😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom