Lakini unakubali Yesu ametokana na kizazi cha zinaa Kama biblia ilivyoandika ?Lete andiko linalosema Mariam alikuwa na miaka 12 shehe,usimshushe josef kwenye level za Mohamed bila ushahidi wa kimandiko.
Lakini unakubali Yesu ametokana na kizazi cha zinaa Kama biblia ilivyoandika ?Lete andiko linalosema Mariam alikuwa na miaka 12 shehe,usimshushe josef kwenye level za Mohamed bila ushahidi wa kimandiko.
Wewe unaitwa jagina lakini kule itv kuna mtangazaji anaitwa jagina pia lakini sio wewe .Kumbe hata biblia huijui ?? hata Nabii ismail humjui ??
ALLAH KATIKA BIBLIA
Kiambishi tamati "IM" katika neno "ELOHIM" ni wingi wa heshima katika Kiebrania.
(Kumbuka kwamba katika Kiarabu na Kiebrania kuna aina mbili za wingi.
Moja ni ya idadi na nyingine ni ya heshima kama inavyotumika katika matangazo ya kifalme.
Kwa kuwa wingi wa heshima ni wa nadra katika lugha za Wazungu, wamechanganya aina hizi za wingi na kufikiria kuwa zinamaanisha wingi katika "utatu wa Mungu", na hivyo wakapata msingi wa kuhalalisha fundisho lao la Utatu Mtakatifu – Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu).
Kwa hivyo, ELOHIM = ELOH + IM. Sasa nataka ufanye zoezi. Unaona maneno haya: YA-HUWA ELOH-IM?
Weka kidole cha mkono wa kushoto juu ya herufi mbili za mwanzo "YA" zenye maana ya "Ewe!" na kidole kingine juu ya "IM" ambayo ni wingi wa heshima.
Unachobakiwa nacho sasa ni Huwa Eloh au Huwa Elah. El kwa Kiebrania maana yake ni Mungu, na Elah au Eloh pia ni jina hilo hilo – Mungu. Kwa hivyo, "Huwa el Elah" au HUWA 'L LAH, ambayo ni sawa kabisa na kauli ya Qur'an – Huwal-lahu (maana yake: YEYE NI ALLAH) katika aya ya:
QUL HUWA ALLAHU AHADU
SEMA:
YEYE NI ALLAH
YEYE NI MMOJA
(Qur'an Tukufu 112:1)
Zoezi hili linaonyesha wazi kwamba El, Elah, na Elohim siyo maneno matatu tofauti.
Yote yanawakilisha neno moja la Kiarabu – ALLAH. Hii siyo fikra yangu binafsi. Tafadhali angalia hapa chini.
Ni nakala ya picha halisi kutoka katika Biblia ya Kiingereza, iliyohaririwa na Rev. C. I. Scofield, D.D., pamoja na maelezo yake ya Biblia.
Huyu Daktari wa Theolojia anaheshimiwa sana miongoni mwa wanazuoni wa Biblia katika ulimwengu wa Kikristo. Katika tafsiri yake hii ya “TOLEO JIPYA NA LILILOKAMILISHWA,” alisaidiwa na kundi la wanazuoni wengine wanane wenye shahada ya D.D.:
- Rev. Henry G. Weston, D.D., LL.D., Rais wa Crozer Theological Seminary
- Rev. W. G. Moorehead, D.D., Rais wa Xenia (U.I.) Theological Seminary
- Rev. James M. Gray, D.D., Rais wa Moody Bible Institute
- Rev. Elmore Harris, D.D., Rais wa Toronto Bible Institute
- Rev. William I. Erdman, D.D., Mwandishi wa “The Gospel of John,” n.k.
- Rev. Arthur T. Pierson, D.D., Mwandishi, Mhariri, Mwalimu, n.k.
- Rev. William L. Pettingill, D.D., Mwandishi, Mhariri, Mwalimu
- Arno C. Gaebelein, Mwandishi wa “Harmony of Prophetic Word,” n.k.
Sijawataja hawa wakubwa ili nikuogopeshe. Wote walikuwa na maoni ya pamoja ya kumuunga mkono Rev. Scofield katika toleo lake hili la "New and Improved."
Tafadhali angalia katika maoni yao namba 1 chini kushoto, wanakubaliana kwamba –
"Elohim, (wakati mwingine El au Elah maana yake Mungu)" na pia imeandikwa kama "Alah" (mstari wa tatu, neno la tatu). Je, inawezekana wataalamu wote wanane wa D.D. walikuwa vipofu na wakaandika neno "Alah" badala ya "God" ?
Je, walikuwa mbali kiasi gani na neno la Kiarabu linaloandikwa – ALLAH – kwa Kiingereza? Nakuuliza ewe msomaji mpendwa. Hii ni kazi ya Allah, lakini Shetani (nitalazimika kuandika kwa herufi kubwa “S,” anastahili), hakukawia kurudi kwa haraka kupitia mawakala wake.
Aliweza kuwafukuza kazi wale D.D. wote waliowajibika kwa “kosa” hilo, na kuwaweka wengine tisa wenye shahada kubwa zaidi kuliko waliotangulia. Utawakuta katika toleo jipya la "The New Scofield Reference Bible" Huwezi tena kuipata Biblia yenye neno "Alah" ndani yake. Shetani ameihakikisha hilo.
View attachment 3428827View attachment 3428828
KUFUTWA KWA HARAKA
"Sasa Unaiona" – "Sasa Huioni" ni mbinu ya zamani sana katika Magharibi.
Linganisha yaliyotajwa hapo juu uone jinsi kundi jipya la wamisionari walivyofuta kwa ujanja na werevu neno "Alah" kutoka kwenye "Toleo Lililoidhinishwa la Mfalme James" katika tafsiri ya Scofield ya Biblia
Mke wa Adam anaitwa nani kutoka kwenye Quran? Ibrahimu alitaka kumtoa sadaka nani kutoka kwenye Quran? Musa alikuwa ana mwabudu Mungu gani kutoka kwenye Quran?Yaani bila ushahidi si ndio michezo yenu kanisani ?
Soma Biblia mtandaoni. Biblia bila malipo kwenye simu, kompyuta kibao au kompyuta yako. | App ya Biblia | Bible.com
unakubali Yesu ametokana na kizazi cha zinaa Kama biblia ilivyoandika ?
Yes ,mfalme Daudi alifanya uzinzi na mke wa Uria aliyekuwa anaitwa Bathsheba.
Baada ya kifo cha Uria alimfanya mkewe ambaye alikuja kumzalia mfalme Suleiman. Kupitia kizazi hicho mpake Yesu akaja kuzaliwa.
2 Samueli 11:1-25
Hata ikawa katika mwanzo wa mwaka mpya, wakati ambapo wafalme huenda vitani, Daudi alimtuma Yoabu na maofisa wake pamoja na Waisraeli wote kupigana; nao waliteka nyara Waamoni na kuuzingira mji wa Raba. Lakini Daudi alibaki Yerusalemu. Siku moja, wakati wa jioni, Daudi aliamka kitandani akaenda kwenye paa ya ikulu. Alipokuwa anatembea huko juu, alimwona mwanamke mmoja akioga na mwanamke huyo alikuwa mzuri sana. Daudi akatuma mtu kuuliza mwanamke huyo ni nani. Mtu huyo akamwambia Daudi “Mwanamke huyo ni Bathsheba binti wa Eliabu, na ni mke wa Uria Mhiti.” Basi, Daudi alituma wajumbe wamlete. Basi Bathsheba akaja kwa Daudi, naye Daudi akalala naye; (mwanamke huyo alikuwa ndio tu amejitakasa baada ya hedhi yake); kisha akarudi nyumbani kwake. Mwanamke huyo akapata mimba, naye akatuma habari kwa Daudi kuwa ana mimba yake. Basi, Daudi akamtumia Yoabu ujumbe, “Mtume Uria, Mhiti kwangu.” Naye Yoabu akamtuma Uria kwa Daudi. Uria alipofika kwake, Daudi alimwuliza habari za Yoabu, watu wote, na hali ya vita. Halafu Daudi alimwambia Uria, “Rudi nyumbani kwako ukanawe miguu yako.” Uria alitoka nyumbani kwa mfalme, na mara mfalme akampelekea zawadi. Lakini Uria hakurudi nyumbani kwake, bali alilala pamoja na watumishi wote wa bwana wake kwenye lango la ikulu. Daudi alipoambiwa kwamba Uria hakwenda nyumbani kwake, Daudi alimwuliza Uria, “Wewe umetoka safari, kwa nini hukuenda nyumbani kwako?” Uria alimjibu Daudi “Sanduku la agano, pamoja na majeshi yote ya Israeli na Yuda yanakaa kwenye vibanda vitani. Bwana wangu Yoabu na watumishi wake wote wamepiga kambi mbugani; je ni sawa mimi niende nyumbani nikale na kunywa na kulala na mke wangu? Kama uishivyo na roho yako inavyoishi, sitafanya kitu cha namna hiyo.” Kisha, Daudi akamwambia Uria, “Basi, kaa hapa leo pia, na kesho nitakuacha urudi.” Hivyo Uria akabaki mjini Yerusalemu siku hiyo. Siku iliyofuata, Daudi alimwalika Uria kula na kunywa huko kwake, akamfanya Uria alewe. Hata hivyo, usiku ule Uria hakwenda nyumbani kwake, ila alilala kwenye kochi lake pamoja na watumishi wa bwana wake. Asubuhi yake, Daudi alimwandikia Yoabu barua akampa Uria aipeleke kwa Yoabu. Katika barua hiyo Daudi aliandika hivi: “Mweke Uria kwenye mstari wa mbele, mahali ambako mapigano ni makali kabisa, kisha umwache huko na kurudi nyuma ili apigwe, afe.” Basi, Yoabu alipokuwa anauzingira mji alimweka Uria mahali ambapo alijua wazi wanajeshi wa adui walikuwa hodari sana. Wakazi wa mji huo walitoka katika mji wao na kupigana na Yoabu. Baadhi ya watumishi wa Daudi, waliuawa. Uria Mhiti naye aliuawa pia. Kisha, Yoabu alipeleka habari zote kwa Daudi akimweleza juu ya vita. Yoabu akamwamuru huyo mtumishi aliyemtuma hivi, “Baada ya kumweleza mfalme mambo yote kuhusu vita, akikasirika na kukuuliza, ‘Kwa nini mlikwenda karibu na mji mlipokuwa mnapigana? Hamkujua kwamba wangewapiga mishale kutoka kwenye kuta za mji wao? Nani alimuua Abimeleki mwana wa Yerubeshethi? Si alikuwa mwanamke mmoja mjini Thebesi ambaye alitupa jiwe la kusagia kutoka kwenye ukuta nalo likamuua Abimeleki? Kwa nini basi, mlikwenda karibu na ukuta?’ Basi, wewe utamwambia hivi, ‘Hata mtumishi wako Uria Mhiti, naye amekufa.’” Yule mjumbe alikwenda kwa Daudi na kumwambia yote aliyotumwa na Yoabu ayaseme. Yule mjumbe akamwambia Daudi, “Adui zetu walituzidi nguvu, wakatoka nje ya miji na kutushambulia nyikani. Hata hivyo sisi tuliwarudisha mpaka kwenye lango la mji. Halafu wakatupiga mishale sisi watumishi wako kutoka ukutani. Baadhi ya watumishi wako waliuawa. Hata mtumishi wako Uria, Mhiti, naye amekufa.” Daudi akamwambia yule mjumbe, “Utamwambia hivi Yoabu, ‘Jambo hili lisikusumbue kwani upanga hauna macho, vita huua yeyote yule. Bali, imarisha mashambulizi dhidi ya mji, hadi umeuangamiza mji huo’. Ndivyo utakavyomtia moyo Yoabu.
Nimekujibu hapo ndiyo,una swali lingine?Jibu unayoulizwa,
Jee unakubali Yesu ametokana na ukoo wa kizazi cha zinaa?
Wewe unaitwa jagina lakini kule itv kuna mtangazaji anaitwa jagina pia lakini sio wewe .
Allah sio jina ni mamlaka (Mungu) lakini jina lake ni nani? Hatujui. Ndiyo maana Musa alipokutana na Mungu jangwani na kuagizwa aende Misri awaambie waisraeli kwamba ametumwa na Mungu aliuliza swali.
Nikifika kule niwaambie wewe ni nani? Maana kama ni miungu tu kule Misri ipo mingi. Nikisema nimetumwa na Mungu,ntaulizwa Mungu yupi?
Ikabidi ajitambulishe kwamba yeye ni Mungu wa baba zao, Ibrahim,Isaac na Jacob(Yawe).
Isaiah 42:8-18
I am Yahweh, that is My name; I will not give My glory to another, or My praise to idols.
Allah sio Yahweh hata kama ana share semantics na Yahweh. Kama ninaamini simu yangu ni Mungu basi itakua (Allah) kwa kiarabu,ila haiwezi kuwa Yahweh kwa sababu hilo ni jina la utambulisho.
Wewe umeshindwa kujibu maswali yangu, kwanini Quran imebidilisha story pamoja na manabii wa kale? Huku inasema Mohamed awaulize waliopata unabii kabla yake kama ana mashaka na utume wake!!!Jibu unayoulizwa,
Jee unakubali Yesu ametokana na ukoo wa kizazi cha zinaa?
Yes maandiko yanasema hivyo, shida iko wapi? Lakini kwa sababu huelewi context unaleta hapa tu kwa ajili ya ajili ya kutaka mjadala?Kumbe Yesu alilia Yahweh , Yahweh mamma sabbakhtani ? Yaani Mungu wangu , Mungu wangu mbona umeniwacha? Au vipi?
Unataka kusema ile dhambi ya asili anayozaliwa nayo mtu na ndio uislam?..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
😂😂😂😂😂😂 Huna ujualo kuhusu ilmu dunyakijana unamdharau mnyazi Mungu , mwingi rehma😁
Yes maandiko yanasema hivyo, shida iko wapi? Lakini kwa sababu huelewi context unaleta hapa tu kwa ajili ya ajili ya kutaka mjadala?
Quran ya ipyax nayo imeandikwa hivyo?Wewe umeshindwa kujibu maswali yangu, kwanini Quran imebidilisha story pamoja na manabii wa kale? Huku inasema Mohamed awaulize waliopata unabii kabla yake kama ana mashaka na utume wake!!!
Utume na ujumbe wake haufanani kabisa na wa manabii wa kale, Mungu mpya, dini mpya lakini wanatumia story na matukio ya manabii wa kale kama msingi?
Jibu unayoulizwa,Nimekujibu hapo ndiyo,una swali lingine?
Wewe umeleta umri wa Mariam na Joseph bila maandiko shehe,lete maandiko pia utuambie Mariam wa kwenye Quran alikuwa na umri gani,mumewe alikuwa nani?Unatumia biblia ya ipyax , imeandikwa hivyo?
Umeishiwa hoja chief.Quran ya ipyax nayo imeandikwa hivyo?
Kuliko wewe mchungaji ipyaxUmeishiwa hoja chief.
Wewe endelea kuamini kitabu ambacho ni copy ya maandiko ya kale (Torati na injili),tena ni copy iliyo chakachuliwa kwa kubadili wahusika na manabii wa kale.Jibu unayoulizwa,
Jee unakubali Yesu ametokana na ukoo wa kizazi cha zinaa?
Kwa akili yako unaamini Quran ilishushwa?mkuu mimi ni mtanzania, sina undugu wowote na muarabu, nachokwambia mimi "lugha ni mambo ya kukubaliana"
common sense ya kawaida ndo inaeleza hivyo.
hapo kwenye kushushwa labda wewe ndo uwe huelewi wanamaanisha nini.