Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Mtu yoyote anayewndekeza swala la dini hana maana katika jamii,ni sawa na mtu tahira
Hujaniambia umekubali Paran ni Makka?Wewe jamaa una shida sana! Wapi huko ambako wakristo walikuwa wanajenga makanisa kwa kuiga misikiti? Uislamu wakati unaanza umekuta tayari wafuasi wa Yesu wakiishi kwa imani zaidi ya miaka 600.
Lete mfano hata wa kanisa moja ambalo limejengwa kwa kuiga msikiti. Ila waislam ni kawaida yenu kugeuza makanisa kuwa misikiti,mfano ni HAGIA SOPHIA pale Ankara nchini Uturuki.
Umepost hapa (1 Wakorintho 9:19-21) kwamba Paulo alikuwa muongo bila kutoa ufafanuzi tena out of context. Hii tabia ya kwenda tu kubeba taarifa kwenye website za watu wakata hata huzielewi na kupost kama ushahidi sio nzuri.
Aliyesema hivyo Nina wasiwasi ni shogaMtu yoyote anayewndekeza swala la dini hana maana katika jamii,ni sawa na mtu tahira
Paran sio makka,nenda hata Google basi. Makka haijawahi kubwa kitovu cha kidini wala biashara kwa sababu hakuna maji. Ndiyo ni mji ambao haupo hata kwenye ramani za kale za warumi ambao walitawala bahari zote . Sababu kubwa ni kwamba kulikua hakuna maji, biashara zote zilifanyika miji ya pwani kama Sanaa nk.Hujaniambia umekubali Paran ni Makka?
mkuu mimi ni mtanzania, sina undugu wowote na muarabu, nachokwambia mimi "lugha ni mambo ya kukubaliana"Ukae na waarabu ukubaliane lugha gani itumie kwenye Quran?
Waarabu wenyewe wanawaambia watu Quran ilishushwa😁😁😁😁😁
naam too much is harmfulMtu yoyote anayewndekeza swala la dini hana maana katika jamii,ni sawa na mtu tahira
Paran sio makka,nenda hata Google basi. Makka haijawahi kubwa kitovu cha kidini wala biashara kwa sababu hakuna maji. Ndiyo ni mji ambao haupo hata kwenye ramani za kale za warumi ambao walitawala bahari zote . Sababu kubwa ni kwamba kulikua hakuna maji, biashara zote zilifanyika miji ya pwani kama Sanaa nk.
Wewe jamaa una shida sana! Wapi huko ambako wakristo walikuwa wanajenga makanisa kwa kuiga misikiti? Uislamu wakati unaanza umekuta tayari wafuasi wa Yesu wakiishi kwa imani zaidi ya miaka 600.
Lete mfano hata wa kanisa moja ambalo limejengwa kwa kuiga msikiti. Ila waislam ni kawaida yenu kugeuza makanisa kuwa misikiti,mfano ni HAGIA SOPHIA pale Ankara nchini Uturuki.
Umepost hapa (1 Wakorintho 9:19-21) kwamba Paulo alikuwa muongo bila kutoa ufafanuzi tena out of context. Hii tabia ya kwenda tu kubeba taarifa kwenye website za watu wakata hata huzielewi na kupost kama ushahidi sio nzuri.
Nabii ismail ndiyo yupi tena huyo? Shida yenu waislamu kila figure head kwenye torati ni nabii. Huyu alikuja na ujumbe gani?Yaani sasa biblia yako imekuwa ni google ??😛😛😛
HIYO GOOGLE YAKO UMECHUKUA SEHEMU TU KULE CHINI UMEKIMBIA , YAANI HAGAR NA NABII ISMAIL unajifanya hujui waliishi wapi ??
Desert of Paran - Wikipedia
TULIA TU , MWAKA HUU DAWA ITAWAINGIA VIZURI ,
Several historical churches in Spain, particularly in Andalusia, were originally mosques before being converted to churches, often during the Reconquista. The Mezquita-Cathedral of Córdoba, for example, is a famous example of a mosque that was transformed into a cathedral. Other examples include the Church of Santa Maria de la Alhambra, originally the Alhambra mosque, and the Church of Cristo de la Luz, formerly the Bab Al-Mardum mosque.
Babu yako Paulo , anaposema ,To those not having the law I became like one not having the law (though I am not free from God's law but am underChrist's law) hapo kama hadanganyi alikuwa anafanya kitu gani ??
UTANYOOKA TU MWAKA HUU ; MPAKA KIELEWEKE
Nabii ismail ndiyo yupi tena huyo? Shida yenu waislamu kila figure head kwenye torati ni nabii. Huyu alikuja na ujumbe gani?
Kule chini inasema pia paran labda ilikua sehemu ya Saudi Arabia,swali ni kwamba waisraeli walivyotoka Misri walipita Saudi Arabia ili kwenda Israel?
Uislamu hauna historia ya unabii,mlichofanya ni kujimilikisha historia za unabii na maeneo ya kiyahudi. Kisha mna wakana wayahudi kwamba matukio yao sio sahihi 😂.
Wayahudi hawajawahi kuwa na Mungu anaitwa Allah, manabii wao hawajawahi kuwa manabii wa Allah. Wanamjua mtu wa kwanza kuumbwa kwenye dini yao ni Adams,wa pili ni mkewe Hawa.
Quran imekopi lakini ikasahau kuhusu mke wa Adam, ndiyo maana mpaka leo waislamu hamjui mke wa Adam alikuwa anaitwa nani, Quran haijasema.
Chanzo cha dhambi ni Adam kila tunda na mkewe walilokatazwa na Mungu wao . Quran imebadilisha story,eti Allah aliwaambia malaika wamsujudie Adam shetani akagoma!!!
Wanafunzi wa Yesu wanasema Yesu alikufa na kufufuka, Quran inasema vinginevyo. Qur'an hiyo hiyo inamwambia Mohamed kama ana mashaka kuhusiana na utume wake basi akawaulize walioshushiwa maandiko kabla yake!!!!
Maandiko ambayo Quran imeyabadili na kuyachakachua. Pole sana.
Ninyooke how? Waislam walivamia Spain nchi ya kikristo wakaitawala kwa miaka mingi. Kama kawaida yao wakiingia ni submit au uchinjwe,raia wa Spain wakaslimu. Miaka mingi baadaye wakaja wapiganaji wakristo wakawafukuza.
Kitabu chenu Jagina kimechakachua na kubadilisha story za manabiii wa kale. Kimeweka matukio ya uongo na nyinyi mnaamini kwamba ni kweli.
Quran haiwezi hata kusimama yenyewe bila Hadith,Hadith ambazo zimendikwa baadaye sana baada ya Mohamed. Sahih Bukhari ni miaka zaidi ya 300 baada ya Mohamed,leo mnaamini neno kwa neno.
Bukhari anasema Mohamed alimuoa Aisha akiwa mtoto kisha akamlala akiwa mtoto wa miaka 9. Mnaanza kuruka ruka kwamba sio kweli.
Sisi wakristo ni muendelezo wa unabii wa kiyahudi, hatujabadilisha story za torati wala matukio ya manabii wa kale. Ukianza kukashifu au kupinga maandiko ya wayahudi na wakristo jaribu kutumia darubini kwenye Quran na hadithi. Ukweli utakuweka huru .

kwa hivyo unaamini wewe kuwa Yesu alizaliwa na ukoo wa kizazi cha zinaa kama ilivyoandika biblia ??
Mbona Yesu alizaliwa wakati mama yake aliolewa na Josef akiwa zee la miaka 90 na yeye akiwa miaka 12
Huo ni ukweli na huwezi kuukataa, Quran imebadili matukio ya unabii wa kale na kuweka matukio ya uongo. Ili tu kuweza kujikweza kwamba ni kitabu cha kweli, bahati mbaya bila Hadith sehemu kubwa hakieleweki.MIPASHO YA KANISANI HIYO
Yaani bila ushahidi si ndio michezo yenu kanisani ?Huo ni ukweli na huwezi kuukataa, Quran imebadili matukio ya unabii wa kale na kuweka matukio ya uongo. Ili tu kuweza kujikweza kwamba ni kitabu cha kweli, bahati mbaya bila Hadith sehemu kubwa hakieleweki.