Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?

2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
Akili ya kikafiri utaiona tuu..
Unajua wewe tayali ushapumbazwa na ilmu dunya unajua hata maana ya hiyo kauli kama yeye ni muslim wa kwanza
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".

Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Upumbavi ni mzogo kweli
 
Ukini fahamisha mimi siyo lazima inifae mimi inaweza kuwafaa watu wengine wasio waislam na walio waislam... hata fafanuzi ninazo toa mimi hapa jf mara nyingi azikufai wewe ninaye kujibu au ninaye mjibu ila zinakwenda kumfaa mtu mwingine ....Kafiri ni kuamini dini potovu au kutofuata dini sahihi.
Hata nimesha kujibu leta majibu ya swali langu haraka sitaki porojo...au kama unaoinga maana ya kafiri niliyo kuoa niambia nikuoe fafanuzi kwa sababu mimi si kalili definition natunga yangu kutoka kwenye akili

Umeitoa wapi tafsiri hiyo?
 
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".

Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi

Nawasilisha
Sasa wewe kama umezaliwa ukiwa mkristo kwanini ubatizwe na upewe namba?

Watoto wote ni waislam na ndio maana akifa bado mtoto hautaenda Jahanamu hata kama wazazi wako ni wakristo
 
Poor Brain hebu tuelezee hii hadithi vizur maana nikielezea mm naweza kukosea.

Ile ya Shetani kuingia msikitini wakat wa kuswali na kupuliza matako ya Waislam.
Kama unataka tuanze kutukanana hapa wallah mi naweza..
Mi sina imani hiyo ya kusema mtu akinichokoza nitulie..
Hakuna hadith inasema huo ujinga kwanza ndo mwanzo wa upinde hayo...

Sijawahi sikia hayo mambo ya kupulizwa na sijawahi pulizwa mkuu

Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah
Daah we jamaa utachomwa moto sheeenzi kabisa
 
U

Ufuasi wa Dini ni utahira hasa kwa waafrica amka uliko lala acha kuamini hadithi za uongo za mtu mwehu eti mtume bullshit
 
Back
Top Bottom