Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
YAANU WEWE UNYWE MAPOMBE NA MASIGARA ALAFU UTEGEMEE UWE PEPO MOJA NA MIMI...Umelaaniwa wewe ulalae na mama zako mkosa adabu mpka pepo
Shaitwayn mkosa akili pua kabisa
TUBU
YAANU WEWE UNYWE MAPOMBE NA MASIGARA ALAFU UTEGEMEE UWE PEPO MOJA NA MIMI...Umelaaniwa wewe ulalae na mama zako mkosa adabu mpka pepo
Shaitwayn mkosa akili pua kabisa
kwaiyo kumbe malaika wanaweza kumsujudia adamu (na sio Mungu??) .....ibilisi alikataa alikuwa sahihi wa kusijudiwa ni Mungu pekeyake"Quran 2:34 - "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
😂😂😂Kwamba nikweli sababu dhambi yenyewe ni uislamuLoh! Ina maana uislam ni dhambi?
Ni kweli kuwa kila mwanadamu anazaliwa akiwa na dhambi asili aliyoirithi toka kwa wazazi wake wa mwanzo, Adamu na Eva. Hivyo kusema kuwa kila mwanadamu anazaliwa akiwa muislam, basi inamaanisha uislam ni dhambi. Na hiyo dhambi unaiondoa kwa kubatizwa kuwa mkristo.
Waislam, bila shaka mmeupata ujumbe sawia toka kwa sgekhe aliyeongozwa na roho mtakatifu, kuwa kila mwanadamu anazaluwa akiwa mdhambi/muislam. Na hiyo hali utaiondoa kwa kubatizwa.
YAANU WEWE UNYWE MAPOMBE NA MASIGARA ALAFU UTEGEMEE UWE PEPO MOJA NA MIMI...
TUBU
Wewe castle nishasema umeshindikana bora niendelee kuwaokoa wengine wewe endelea ila usitegemee kuwa pepo moja na mimiKwan dhambi ni moja tu.
Ulevi wala hauko kwenye amri 10 za Mungu.
Ila matendo unayofanya baada ya Ulevi ndio yako.
Unaweza usinywe na ukawa na Mambo ya Hovyo zaid ya anayekunywa.
Wacha Wanyaji wafurahie maisha yao. Tunywe kistaarabu
Utafata ukikuaHuo ni uongo mkubwa kabisa unakuwaje muislam bila kufuata nguzo tano za uislam
Na wasiokua jeUtafata ukikua
Wewe..Mwamedi anatakiwa akamatwe apigwe viboko vingi sana kwa udanganyifu mkubwa alioufanya
Lucha uzuri utumii mjani 🫵🫵🙏🙏🙏😂😂😂Ni kweli Watu wote walizaliwa waislam ila baadhi yao baada ya kupata matatizo ya akili wakakufuru
Watoto wachanga wote wakifa wanaenda peponi unajua kwa nini.?Na wasiokua je
Sijui,so hata akiwa mchawiWatoto wachanga wote wakifa wanaenda peponi unajua kwa nini.?
Kwani uislamu umeanza lini? Na waliozaliwa kabla ya kuanza uislamu wanaitwaje?Wote tumezaliwa waislam ni wewe tu kuja duniani na kujifanya mjuaji kumbe hujui lolote kujua Mungu wako
Oky mtoto akifa anaenda peponi...Sijui,so hata akiwa mchawi
Anayejua ni Mungu hao watakuajeKwani uislamu umeanza lini? Na waliozaliwa kabla ya kuanza uislamu wanaitwaje?
Hadithi za kusadikikaAnayejua ni Mungu hao watakuaje
ila baada ya kuja islam wote waliozaliwa ni islam
Sawa kama ni hadthi ila nakuhusiaHadithi za kusadikika
Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
Nyinyi ndiyo wale mnasema rangi za upinde ni rangi za mashoga ...wakati ni rangi zilizo kuwako kabla ya ushoga sema wao wakezitumia tu kamakatika alama yao ...katika ukristo ubatizo wa maji ni kama SHAHADA KWA WAISLAMU..Shahada ni kumkubali allah na mtume wake muhammad na mafundisho ya Msahafu ....ubatizo wa maji kwa wakristo ni kumkubali Mungu na Yesu na injili yake ...Ubatizo:
Hii pia ni ibada kuu na ya msingi katika dini ya Kikristo ambayo hata watoto wachanga nao huusishwa nayo pia! Kwa ujumla wake, ibada hii (ya ubatizo) imeshamiri sana katika Ukristo.
Hata hivyo, pamoja na kuwemo katika orodha ya ibada za Kikristo, lakini kwa mujibu wa maelezo ya Biblia tukufu, asili ya ibada hiyo (ya ubatizo) imetokana na dini ya kipagani (Mithraism). Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maelezo ya Biblia yafuatayo:
"Ibada ya (ubatizo) kutosa mwili majini ni mfano wa utakaso au wakujitengeneza upya. Ibada kama hiyo ilijulikana na kutendeka katika dini za kale za kipagani na dini ya Kiyahudi pia...
(kama ubatizo wa waongofu Mdo 2:10; Waesseni)'.
(Tazama Biblia ya Wakatoliki, Imprimatur M. Mihayo Archbishop of Tabora, February, 1967, kwenye maelezo ya Mathayo 3:6 uk. 879).
Maelezo hayo ya Biblia hapo juu yanathibitisha wazi kwamba ibada hiyo ya ubatizo inatokana na dini za kale za kipagani na kamwe haitokani na dini ya Mwenyezi 'Mungu.
Nasema ibada hiyo (ya ubatizo ya kipagani) katu haitokani na M'Mungu, kwa sababu tangu mapema M'Mungu alikwishawakataza na kuwaonya wanadamu kutenda ibada yoyote (kama hiyo ya ubatizo) ya watu wa mataifa (yaani wapagani) kama asemavyo (M'Mungu) katika maandiko yafuatayo:
"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale".
(Kumbukumbu la Torati 18:19)
Mkristo anaweza kutaka kuutetea ubatizo kuwa ndio ondoleo la dhambi.
Lakini wakrito wote wanakiri kuwa Bw. Yesu hakuwa mwenye dhambi, je iweje asiye na dhambi kama bw. Yesu abatizwe?
Huu kama si uzushi ni kitu gani?