Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Kwa hiyo waislam wote hawana dhambi?!Oky mtoto akifa anaenda peponi...
Kwasababu kafa akiwa muslim pia msafi hana dhambi...
Sheria ya kwanz kwenda pepon uwe muumini islam
Kwa hiyo waislam wote hawana dhambi?!Oky mtoto akifa anaenda peponi...
Kwasababu kafa akiwa muslim pia msafi hana dhambi...
Sheria ya kwanz kwenda pepon uwe muumini islam
Naona Poor Brain kakupa like sijui ya nini maana swali langu sijajibiwa ...na yoyote tena ni swali dogo tu ...je nikija na maswali makubwa itakuwaje.Ubatizo:
Hii pia ni ibada kuu na ya msingi katika dini ya Kikristo ambayo hata watoto wachanga nao huusishwa nayo pia! Kwa ujumla wake, ibada hii (ya ubatizo) imeshamiri sana katika Ukristo.
Hata hivyo, pamoja na kuwemo katika orodha ya ibada za Kikristo, lakini kwa mujibu wa maelezo ya Biblia tukufu, asili ya ibada hiyo (ya ubatizo) imetokana na dini ya kipagani (Mithraism). Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maelezo ya Biblia yafuatayo:
"Ibada ya (ubatizo) kutosa mwili majini ni mfano wa utakaso au wakujitengeneza upya. Ibada kama hiyo ilijulikana na kutendeka katika dini za kale za kipagani na dini ya Kiyahudi pia...
(kama ubatizo wa waongofu Mdo 2:10; Waesseni)'.
(Tazama Biblia ya Wakatoliki, Imprimatur M. Mihayo Archbishop of Tabora, February, 1967, kwenye maelezo ya Mathayo 3:6 uk. 879).
Maelezo hayo ya Biblia hapo juu yanathibitisha wazi kwamba ibada hiyo ya ubatizo inatokana na dini za kale za kipagani na kamwe haitokani na dini ya Mwenyezi 'Mungu.
Nasema ibada hiyo (ya ubatizo ya kipagani) katu haitokani na M'Mungu, kwa sababu tangu mapema M'Mungu alikwishawakataza na kuwaonya wanadamu kutenda ibada yoyote (kama hiyo ya ubatizo) ya watu wa mataifa (yaani wapagani) kama asemavyo (M'Mungu) katika maandiko yafuatayo:
"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako, usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale".
(Kumbukumbu la Torati 18:19)
Mkristo anaweza kutaka kuutetea ubatizo kuwa ndio ondoleo la dhambi.
Lakini wakrito wote wanakiri kuwa Bw. Yesu hakuwa mwenye dhambi, je iweje asiye na dhambi kama bw. Yesu abatizwe?
Huu kama si uzushi ni kitu gani?
Sheria ya kwanza bado sijamaliza NYingine...Kwa hiyo waislam wote hawana dhambi?!
Unajibiwa kwa mfumo wa maandiko ili ieleweke hapa kuwa majadiliano nyetu yapo ndani ya vitabu nathin moreNapna Poor Brain kakupa like sijui ya nini maana swali langu sijajibiwa ...na yoyote tena ni swali dogo tu ...je nikija na maswali makubwa itakuwaje.
Jagina uwa ajibu chochote anachukua makabrasha ya kanisa katoliki na kuposti umu ..yamejaa upumbavu wa mungu mwenye nafsi 3 ....kwani swali langu lina uhusiano gani na hayo aliyo post...nielewesheUnajibiwa kwa mfumo wa maandiko ili ieleweke hapa kuwa majadiliano nyetu yapo ndani ya vitabu nathin more
Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...Jagina uwa ajibu chochote anachukua makabrasha ya kanisa katolik9 na kuposti umu ..yamejaa upumbavu wa mungu mwenye nafsi 3 ....kwani swali langu lina uhusiano gani na hayo aliyo post...nieleweshe
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimuKama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu.Kama ni hivyo hoja ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye umma wake ni potovu sababu ni mbili
1)ikiwa sababu ni kila mtu uzaliwa muislamu sasa inakuwaje muhammad awe ni muislamu wa kwanza kwenye umma wake ....kwa sababu wakati muhammad anazaliwa kulikuwa na watoto walio zaliwa mbele yake ,kwa masaa, siku, miezi, na miaka mfano mtoto aliye zaliwa mwezi mmoja kabla ya kuzaliwa muhammad....huyo mtoto sini muislamu kwa mujibu wa hii kanuni ?
2) kama muhammad ni muislamu wa kwanza kati ya walio silimu? Hapa napo kuna swali la msingi ambalo kila nikiuliza JF napata majibu tofauti hata hayo majibu yote yana kwazo ndani yake ...hoja ipo hivi
A)kama muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye kusilimu basi muhamadi alikuwa KAFIRI kabla ya kusilimu ...sasa nipeni jibu moja muhamadi ni muislamu wa kwanza KIVIPI ? adriz FaizaFoxy Malaria 2 Mufti kuku The Infinity Jagina Covax
Umelogwa na waarabu sio bure... mimi nimezaliwa uhadzabeni huko singidani ndani ndani porini au usandaweni dodoma ndanindani... nakuwaje muarabu sasa? Mbona nazaliwa sijui kiarabu asipokuwa najua kihadzabe au kisandawe?..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Hujui kwamba waislam mtatutoa sadaka wakristo na wayahudi ili tuingie motoni kwa ajili yenu. Hata uwe na dhambi nyingi kama mlima wewe utaleta Myahudi au mkristo atupwe kwenye moto kwa ajili yako.Pata elimu hii bila malipo:-
Dhambi ya Asili Haipo
Msingi wa Ukristo ni dhambi ya asili ambayo kwayo kusulubiwa kwa Yesu kunahalalishwa na kutumika kwa faida ya Wakristo. Ikiwa dhambi ya asili itatupiliwa mbali, basi kusulubiwa kunakufa maana.
Hakuna hata moja kati ya imani hizi mbili zilizotungwa na binadamu ambazo ni za kweli, na dhambi ya asili haipatikani popote katika Biblia nzima.
Mwanzo 3:14
“Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa kuwa umefanya hivi, umelaaniwa kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote wa kondeni; juu ya tumbo lako utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako.”
Hii ni laana juu ya nyoka, na hata hivyo ni ya kidunia tu.
Ezekieli 18:4
“Tazama, roho zote ni mali yangu; kama vile roho ya baba, ndivyo roho ya mwana ni yangu; roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”
Ezekieli 18:20
“Roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”
Kumbukumbu la Torati 24:16
“Baba hawatauawa kwa ajili ya watoto, wala watoto hawatauawa kwa ajili ya baba zao; kila mtu atauawa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.”
Biblia iko wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakayewajibika kwa dhambi za wengine. Kila mtu anawajibika kwa nafsi yake mwenyewe, na hawezi kumlaumu Adamu na Hawa.
Dhana hii inalingana kabisa na msimamo wa Qur’ani kuhusu suala hili.
(Qur’an 6:164)
“Hakuna mtu yeyote atakayebeba mzigo wa mwingine, wala mtu yeyote hatavuna dhambi isipokuwa ile aliyojitwika mwenyewe.”
Baadhi ya aya zinazopingana zipo katika Biblia ambazo Wakristo huzitumia kutetea dhana hii ya kutungwa ya dhambi ya asili. Lakini tukiziangalia kwa makini, pia hazizungumzi kuhusu dhambi ya asili kama Wakristo wanavyoamini.
Kwa mfano:
Mwanzo 3:17
Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umesikia sauti ya mkeo, ukala matunda ya mti niliokuamuru usile, ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa taabu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:18
Miiba na mibaruti itakuzalia, nawe utakula mboga za kondeni;
Mwanzo 3:19
Kwa jasho la uso wako utakula chakula, hata utakaporudi katika ardhi, kwa kuwa ulitwaliwa huko; kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.
Aya hizi zinaweza kuonekana kama zinazungumzia dhambi ya asili, lakini tukizisoma kwa makini, zinaelezea tu adhabu za kidunia na si kitu kingine.
Ni wapi katika Biblia imeandikwa kuwa mwanadamu amepangiwa laana ya milele kwa sababu ya dhambi aliyorithi?
Ni wapi Biblia inasema kuwa kusudi la Yesu lilikuwa kufuta alichokifanya Adamu?
Yohana 1:29
Siku ya pili, Yohana akamwona Yesu akimjia, akasema, “Tazama Mwana-Kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu.”
Manabii hutumwa na Mungu kama vielelezo vya ujumbe wanaouleta. Manabii hutumwa kuwaongoza wanadamu katika njia sahihi na kuwaepusha na maisha ya dhambi. Hivyo basi, Yesu anaondoa dhambi kwa kuwaongoza watu na kuwaonyesha njia ya haki. Zaidi ya hayo, Yesu mwenyewe hakusema maneno haya – ni Yohana aliyesema.
Warumi 5:12
“Kwa hiyo, kama kwa mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni, na kwa dhambi hiyo mauti, na hivyo mauti ikawafikia watu wote, kwa sababu wote wamefanya dhambi—”
Warumi 5:19
“Kwa sababu ya kosa la mtu mmoja watu wengi walifanywa wenye dhambi...”
Aya hizi zinasema kuwa kwa sababu ya dhambi ya Adamu, mauti ilikuwepo. Lakini haizungumzii mauti ya milele bali kifo cha kidunia. Tafsiri hii ndio inayofaa; vinginevyo, kuna mgongano na aya zifuatazo:
Yeremia 31:29–30
“Siku zile hawatasema tena, Baba wamekula zabibu kali, na meno ya watoto wao yamekwashwa. Lakini kila mtu atakufa kwa ajili ya uovu wake mwenyewe; kila mtu anayekula zabibu kali, meno yake mwenyewe yatakwashwa.”
Ezekieli 18:4
“Tazama, roho zote ni mali yangu; roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”
Ezekieli 18:20
“Roho itendayo dhambi, hiyo itakufa.”
Kumbukumbu la Torati 24:16
“Baba hawatauawa kwa ajili ya watoto, wala watoto hawatauawa kwa ajili ya baba zao; kila mtu atauawa kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.”
Kifo kinachozungumziwa ni kifo cha duniani na si adhabu ya kuzimu.
Methali 20:9
“Ni nani awezaye kusema, ‘Nimekisafisha moyo wangu, mimi ni safi kwa dhambi yangu?’”
Njia ya kujitakasa kutokana na dhambi ni kwa kusafisha moyo, si kwa kuamini kusulubiwa au Utatu.
Zaburi 51:5
“Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba katika dhambi.”
Aya hii inahitaji kusomwa katika muktadha wake ili kueleweka vizuri:
Zaburi 51:1–4
- Ee Mungu, unirehemu kwa wema wako; kwa wingi wa huruma zako, uyafute makosa yangu.
- Nisafishe kabisa na uovu wangu, unitakase na dhambi yangu.
- Kwa maana nakiri makosa yangu; dhambi yangu iko mbele yangu daima.
- Nimekutenda dhambi, Ee Mungu, peke yako, nami nimefanya yaliyo mabaya mbele zako...
Zaburi 51:5
“Tazama, mimi naliumbwa katika hali ya uovu; mama yangu alinichukua mimba katika dhambi.”
Tukisoma kwa muktadha, tunaona kuwa msemaji wa maneno haya alikuwa mwenye dhambi mwenyewe – angalia aya ya 3 na 5. Hii inaonyesha kuwa anazungumzia dhambi zake binafsi zilizotangulia.
Nathani alitoka kwa mke wa Haruni ambaye alikuwa kizazi cha tano cha mtoto wa haramu wa Yuda. Biblia inasema sheria ya Mungu ilikataza watoto wa haramu kuingia katika kusanyiko la Bwana kwa vizazi kumi (Kumb. 23:2).
Daudi alikuwa kizazi cha tisa cha mtoto wa haramu – mzao wa Peresi, mtoto wa Yuda na Tamari. Nasaba yake ina mawaa: baba yake alitokana na Moabu, uzao wa uzinzi kati ya Lutu na binti yake, hadi kwa Ruthu, Mmoabi aliyebadilika dini.
Daudi alionwa kuwa mtoto wa haramu na baba yake na ndugu zake. Madai haya yametolewa dhidi ya Nabii Daudi.
“Naliumbwa katika uovu” linaweza kumaanisha ama alipokuwa tumboni au katika siku za kukua kwake.
Popote utakapoelekeza maana yake, dhambi inayozungumziwa ni ya kibinafsi, si ya kurithi.
Hata kama “naliumbwa katika uovu” inahusisha siku za kukua, bado hizo ni dhambi binafsi. Mfalme Daudi anatuhumiwa kwa udanganyifu, uzinzi, na uuaji katika Biblia.
Ni ajabu kwamba dhana kubwa namna hii ya Kikristo – "Dhambi ya Asili" – haina ushahidi wowote wa moja kwa moja katika Biblia.
Ulimkung'unta kofi au umeleta uzi bila ushuhuda?..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Tuwekeee chain ya wapokezi wa hadithi ulizoziwekaHujui kwamba waislam mtatutoa sadaka wakristo na wayahudi ili tuingie motoni kwa ajili yenu. Hata uwe na dhambi nyingi kama mlima wewe utaleta Myahudi au mkristo atupwe kwenye moto kwa ajili yako.
“Allah atampa kila muislam myahudi au mkristo siku ya kiama na kusema,hii ni sadaka yako.(Muslim, Tawba 49).
Abu Musa' alisema kwamba mtume wa mwenyezi Mungu alisema(Amani iwe naye): Itakapofika siku ya kiama Allah atamletea kila muislam myahudi au mkristo na kusema: Hii ndiyo sadaka yako ya kukutoa kwenye moto wa jehanum.. (Sahih Muslim, Kitabu 037, Namba 6665)
Hakuna muislam atakufa kwenye moto wa jehanum,isipokuwa kwenye nafasi yake Allah atamweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 037,namba 6666.
Watakuja waislam siku ya kiama wenye dhambi nzito kama mlima, Allah atawasamehe na kwenye nafasi zao za motoni atawaweka Mkristo au Myahudi. Sahih Muslim kitabu 036,namba 6668.
Wewe leo huzikubali haditiza sahihi Bukhari!!??!! Nenda kasome kwenye vitabu vyenu kama mimi nimeandika uongo hapa . Yesu alikufa kwa ajili yetu,ila sisi (wakristo , wayahudi)tutachomwa kwa ajili yenu waislamu ili muione pepo .Tuwekeee chain ya wapokezi wa hadithi ulizoziweka
Hiki ni kituko cha karne:Quran 2:34 - "Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri."
Kama ni hivyo tambua mtu awezi kufikia daraja ya utume bila ya kufuata muongozo wa mwisho wa Mungu ambao mnajua wote kuwa muongozo wa mwisho wa mungu ni INJILI kabla ya kuja MSAHAFU.. sasa swali Utume wa Muhammadi umepatikana ndani ya kufuata ukafiri ?au injili.. Muhammad anajitambulisha kupata utume mara tu baada ya kutokewa na kiumbe pangoni ? Je Muhamad UKAFIRI WAKE ULIKOMA MUDA GANI HADI KUFIKIA DARAJA YA UTUME NA ALIFUATA MUONGOZO GANI WA MUNGU ULIO MWEZESHA KUFIKIA DARAJA YA UTUME KUMBUKA MSAHAFU NI MUONGOZO BAADA YA MUHAMMAD KUWA MTUMEYes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu
Yes alikuwa kafiri kabla ya kusilimu.
Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...
Oky ebu naomba weka swali lako hapa clear in shortly description
SWALI SI ILI HAPA ...kuna mwenzako kajibu kuwa Muhammad alikuwa kafiri 😁😁 nakungoja na wewe nione majibu yenu yanavyo pingana kisha nakuja sasa kuwaonyesha ujinga wenu ...maana huyo aliye jibu kuwa Muhammad alikuwa kafiri ...kajibu akidhani ndiyo kajiokoa kumbe😁😁...kuna uislamu mwenzenu aliwai kuleta hoja juu ya ili swali alivyo ona mambo ni magumu alisema muhamadi AJAWAI KUSILIMU😁😁Mkuu kukuelewesha wewe inahitaji mtu awe na iq kubwa sana...
Oky ebu naomba weka swali lako hapa clear in shortly description
jibu swali unaloulizwa usikoromee watu,Wewe leo huzikubali haditiza sahihi Bukhari!!??!! Nenda kasome kwenye vitabu vyenu kama mimi nimeandika uongo hapa . Yesu alikufa kwa ajili yetu,ila sisi (wakristo , wayahudi)tutachomwa kwa ajili yenu waislamu ili muione pepo .
Hiki ni kituko cha karne:
Allah anawaambia malaika wamsujusie Adam:
Sasa hapo Ibilisi alihusikaje katika hilo agizo ?
Au malaika wa Allah ni Ibirisi ?
Ni wapi Ibirisi aliambiwa amsujudie Adam:
Hii Dini ni zaidi ya Kituko:
Dini iliyo asisiwa na Kiroja, kisicho fahamu hata hatima yake:
[ AL - AH'QAAF - 9 ]
Sema:
Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi.