JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu.
Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha kusimamia utekelezaji wa Misingi iliyowekwa Kimataifa na Uhuru wa Kujieleza.