Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"

Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70, miaka 80, wanazungumza maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine useful advice, wakati mwingine just the worries of old people which the young men have no time for.

Utaona yupo afande mmoja,anaitwa McGregor, nadhani, ana maneno mengi sana ya kusema kuhusu Russia-Ukraine war. Sasa, kwa nini mtu yoyote agombane na wastaafu.

Wastaafu wanatoa maoni yao. Of course, kama Kamanda amestaafu, askari wanapaswa kumtii yule ambaye ndie kamanda wao wa sasa.

Hatubishani juu ya jambo hilo.
Makonda, matatizo yake ya kuwa persona non grata Marekani hayajasababishwa na wastaafu.

Nchi inaongozwa na wake wanaoiongoza, ambao wamekuwa wakiiongoza kwa miaka mia moja, mia mbili, iliyopita,wenye uzoefu.
Tatizo hao Wastaafu walipewa madaraka wakashindwa, Wakati wao walikuwa hovyo kabisa hakuna walichokifanya labda wizi na ufisadi na kula bada ulaya,walimaliza mda wao watulie hapo niko upande wa Makonda.
 
Back
Top Bottom