Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt.
Kyambamasimbi Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi kwenye mipaka ya mashamba na pia Nina PhD ya kuishi na mke Mkorofi sio mchezo.
Kyambamasimbi Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi kwenye mipaka ya mashamba na pia Nina PhD ya kuishi na mke Mkorofi sio mchezo.