wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Dr Kyambamasimbi hongera sana kwa udaktari wa heshima sisi wengine tunarnjoy kuitwa daktari kitambo sana japo sio wa heshima ila ni ujuzi wa mambo mtambuka katika mwili wa binadamu .Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt.
Kyambamasimbi Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi kwenye mipaka ya mashamba na pia Nina PhD ya kuishi na mke Mkorofi sio mchezo.
Ila nimeipenda hiyo ya uvumilivu
God bless you doctor Kyambamasimbi