Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Asante mkuu nmevaa majoho mengi sanaHongereka
Acha utoto.Asante mkuu nmevaa majoho mengi sana
Na wewe una PhD ya kuwa mtu wa hovyoAcha utoto.
Hongera sana sana, mbingu ni yako Processor Dr KyambamasimbiKama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi kwenye mipaka ya mashamba na pia Nina PhD ya kuishi na mke Mkorofi sio mchezo.
Asante mkuuHongera sana sana, mbingu ni yako Processor Dr Kyambamasimbi
Ishu ni udaktari ishu sio ubungeSasa mkuu kweli unataka kujilinganisha na Babu Tale au unamchukulia powa... sitaki kukudharau lakini tusilazimishe sana kuwa sawa na wenzetu.
Kila mtu ashinde mechi zake, maisha ndo yanatakiwa kuwa hivo
Sawa kama ingekuwa ni rahisi na wewe si ufanye harakati upatiwe hua udaktari mkuu...Is
Ishu ni udaktari ishu sio ubunge
Nmejipa na Mimi Kama wanavyojipa mkuuSawa kama ingekuwa ni rahisi na wewe si ufanye harakati upatiwe hua udaktari mkuu...
Kwani wao wamejipa? Au wamepewaNmejipa na Mimi Kama wanavyojipa mkuu
Haya mambo ya kupachikwa PHD feki za heshima na uprofesa feki wa kivhina kwa viongozi na aliuanzisha Msogaman akiwa ikulu. Yeye aliona kuitwa doctor ndio kungemfanya alingane kielimu na Dr. Slaa kwenye kampeni na uchaguzi wa mwaka 2010 baada ya kuona Dr. Slaa anampumlia kisogoni kwenye mbio za kugombea urais.Kama ndio Hali ilivyo ya kujigawia PhD Kama akina Tale Tale ambao nao wanajitambulisha Bungeni eti anajiita Dkt.Tale Tale, Basi Kila mtu ajipe udaktari kwa sababu kila mtu amepitia changamoto na kuvumilia Mambo mengi maishani. Hivyo kila mtu ajiite Dkt Sasa. Mimi naitwa Dkt. Kyambamasimbi Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi kwenye mipaka ya mashamba na pia Nina PhD ya kuishi na mke Mkorofi sio mchezo.
Hongera mkuu,,πππππMimi pia Nina PhD ya kukaa kimya .
Kweli mkuu tunaliangamiza taifaHaya mambo ya kupachikwa PHD feki za heshima na uprofesa feki wa kivhina kwa viongozi na aliuanzisha Msogaman akiwa ikulu. Yeye aliona kuitwa doctor ndio kungemfanya alingane kielimu na Dr. Slaa kwenye kampeni na uchaguzi wa mwaka 2010 baada ya kuona Dr. Slaa anampumlia kisogoni kwenye mbio za kugombea urais.
Watangulizi wake kina Nyerere, Mwinyi na Mkapa walitunukiwa hizo shahada za PHD za heshima kibao lakini hata siku Moja hatukuwahi kusikia wanaitwa madoctor.
Sasa huyu mama naye kafuata nyayo za mentor wake Msogaman kwa kutunukiwa PHD za mchongo. Sasa hadi masela wanajiita madaktari kwa sababu hata boss wao amepewa PHD ya mseleleko. Tatizo siyo kupewa PHD bali unapewa kwa mchango upi?