Kila mtu ana PhD yake katika maisha yake Sasa Kama ndio hivi. Nina PhD ya kumvumilia jirani yangu mkorofi tangu 1970

Dr Kyambamasimbi hongera sana kwa udaktari wa heshima sisi wengine tunarnjoy kuitwa daktari kitambo sana japo sio wa heshima ila ni ujuzi wa mambo mtambuka katika mwili wa binadamu .

Ila nimeipenda hiyo ya uvumilivu
God bless you doctor Kyambamasimbi
 
🤣🤣🤣Pole sana
 
Asante mkuu hongera pia mkuu kwani ya kwako ni halali kabisa sio mtu anatoka tu huko na Mimi daktari wakati watu wamehenya mpaka Basi.
 
Mimi Phd yangu ni kutafuna papuchi yaana full kuchakaa mwanzo mwisho.
 
Ni kweli, nikiwa kama mwalimu pamoja na wenzangu, hatukuwa na phD, Kwa jinsi tulivyofanya kazi tulijiamini tuna phD na ndivyo tulivyo kwa uwezo tulio nao wa kufanya kazi hiyo kwa ufanisi na weledi wa hali ya juu
 
Lazima umeathirika kisaikolojia kwa kumvumilia mtu miaka yote hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…