Kila mtu angependa kuwa na kaka kama Alute Mughwai

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia Tundu Lissu anaonyesha ana adabu kwa wakubwa zake kwenye familia ndo maana kaka yuko naye bega kwa bega kwenye majanga yake yote pamoja na kwamba wako itikadi tofauti kisiasa. Inapendeza sana.

Sisi wote tuige kina Lissu jinsi wanavyoonyesha kwa vitendo kuwa damu nzito. Usipompenda ndugu yako wa damu basi hata taifa hutaweza kulipenda. Upendo na uzalendo huanzia ngazi ya familia. Huwezi kuwa unachukiana na familia yako halafu utupende sisi wapiga kura wako. Patana kwanza na ndugu zako kabla hujaja kwetu.

Cha ziada kuhusu hawa Mughwai brothers ni kuwa inaonekana sio watu wa madili ya kihuni. Kuna mawakili wengi wa Arusha wamekumbwa na kashfa ya mambo machafu kwa mfano Mwale na Mawala ila hawa kina Mughwai hawajawahi tajwa.
 
Lissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.

Kwani hukuwaona wawakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa ili kuwatisha wasiende mahakamani?

Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.

Au nasema uongo?
 
Kwani hukuwaona wakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa Ili kuwatisha wasiende mahakamani?

Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.

Au nasema uongo?
Jikite kwenye uzi
 
Kuna listi NDEFU ya manabii walitofautiana na NDUGU zao. Hivyo SI lazima lisuu akubalike kwa NDUGU zake. Lisu YUKO SAWA kama hawaeleweki haijalishi tupa kureeeeeeeeee

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Lissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.

Kwani hukuwaona wawakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa ili kuwatisha wasiende mahakamani?

Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.

Au nasema uongo?
We ni zombie tu, umesahau matokeo ya 2020? Sazingine tumieni akili ht waje wasimamie hao wazungu Lissu hawezi kushinda.
 
Lissu ni anointed mana , Jiwe alitaka kumuua akafa yeye na Yule bibi kamfunga Ila na yeye kaondolewa ikulu yupo Kama nyoka asiye na meno

Lissu ni mbarikiwa wa Mungu
 
Lissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.

Kwani hukuwaona wawakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa ili kuwatisha wasiende mahakamani?

Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.

Au nasema uongo?
Anayehofia uchaguzi ni wa fomu moja mkuu
 
Back
Top Bottom