MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ndugu hii comment yako haiendani na uzi kabisa.Nyie si Mnamuabudu Samia, endeleeni ili tuone atadumu hadi lini
Mdogo mtu huwa anapitia misukosuko mingi ila kaka mtu kamwe hajawahi kaa pembeni. Tundu Lissu ana bahati kuwa na kaka kama Alute. Hakika Alute ni mfano wa kuigwa. Apewe tuzo ya kaka bora. Ila pia Tundu Lissu anaonyesha ana adabu kwa wakubwa zake kwenye familia ndo maana kaka yuko naye bega kwa bega kwenye majanga yake yote pamoja na kwamba wako itikadi tofauti kisiasa. Inapendeza sana.
Sisi wote tuige kina Lissu jinsi wanavyoonyesha kwa vitendo kuwa damu nzito. Usipompenda ndugu yako wa damu basi hata taifa hutaweza kulipenda. Upendo na uzalendo huanzia ngazi ya familia. Huwezi kuwa unachukiana na familia yako halafu utupende sisi wapiga kura wako. Patana kwanza na ndugu zako kabla hujaja kwetu.
Cha ziada kuhusu hawa Mughwai brothers ni kuwa inaonekana sio watu wa madili ya kihuni. Kuna mawakili wengi wa Arusha wamekumbwa na kashfa ya mambo machafu kwa mfano Mwale na Mawala ila hawa kina Mughwai hawajawahi tajwa.
Jikite kwenye uziLissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.
Kwani hukuwaona wakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa Ili kuwatisha wasiende mahakamani?
Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.
Au nasema uongo?
Jikite kwenye uzi
Kinahusiana nini, Samia anaingiaje hapo. Hv wanyakyusa ndivyo mlivyo?Nyie si Mnamuabudu Samia, endeleeni ili tuone atadumu hadi lini
Amechanganyikiwa, mtu anamtishia Rais km siyo mwehu ni niniNdugu hii comment yako haiendani na uzi kabisa.
We ni zombie tu, umesahau matokeo ya 2020? Sazingine tumieni akili ht waje wasimamie hao wazungu Lissu hawezi kushinda.Lissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.
Kwani hukuwaona wawakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa ili kuwatisha wasiende mahakamani?
Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.
Au nasema uongo?
Mkuu samahani hivi bibi amerudi ? Nasikia kawekwa pembeniAmechanganyikiwa, mtu anamtishia Rais km siyo mwehu ni nini
We danga nawaonea huruma watoto wako, siyo kwa kwa ujinga huoLissu , kamfanya MTU mmoja kukimbilia kijijini kwao
We ni zombie tu, umesahau matokeo ya 2020? Sazingine tumieni akili ht waje wasimamie hao wazungu Lissu hawezi kushinda.
Bibi yupo kwao kafukuzwa jumba jeupe mjinga Sana yule BibiMkuu samahani hivi bibi amerudi ? Nasikia kawekwa pembeni
Ukijikita wewe inatosha.Jikite kwenye uzi
Anayehofia uchaguzi ni wa fomu moja mkuuLissu hakubaliki kwa kaka yake tu bali taifa na hata huko nje. Ndiyo maana kwa kuhofia kushindwa uchaguzi kama ungekuwa huru na wa haki wangependa kumweka nyuma ya nondo.
Kwani hukuwaona wawakilishi wakipigwa na wengine hata kubakwa ili kuwatisha wasiende mahakamani?
Kukubalika Kwa Lissu ni zaidi ya bi Kizimkazi naye hilo analijua.
Au nasema uongo?