Kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa

Kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,923
Reaction score
40,246
Iko hivi, kuna mchungaji mmoja ambaye pengine ni mke wa mtu ameelezea vizuri kabisa kwamba hajasoma degree nne ili aje kufua boksa chafu za mume wake.

Kimsingi, yuko sahihi, kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa.

Ieleweke kwamba ndoa ni scam na ubabaishaji mwingi wenye lengo la kumnufaisha na kumlinda mwanake

Kama wewe umeingia kwenye ndoa ili upate dobi au mpishi au house maid au sex mate basi shikamana na hayo mahitaji yako ya ndoa

Hakika ninawaambia mtaendelea kuteseka mpaka hapo mtakapo jua hamtakiwi kufanya maamuzi kwa kuongozwa na nyege

SITAWAFUNDISHA TENA
 
Kwanini nyeto Mkuu wakati namvizia demu nikamle kimasihara leo wakati Yanga tunakabidhiwa kombe letu
Huyo manzi anaesema hayo maneno wewe umemwelewa amemaanisha nini kwamba dildo ni muhimu zaidi kuliko mtinyama au hujamuelewa vizuri lugha yake ya picha?
 
Huyo manzi anaesema hayo maneno wewe umemwelewa amemaanisha nini kwamba dildo ni muhimu zaidi kuliko mtinyama au hujamuelewa vizuri lugha yake ya picha?
Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.

Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
 
Haya mambo sio wote , ndio maana kila jamii inatakiwa kulinda imani yake .. Mimi siamini huo upumbavu .
 
Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.

Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Acha ujinga wa kijima sasa elimu uliyosoma inakua imekukomboa na nini unakua na tofauti gani na asiesoma? Unataka kusemaje kwamba hadi mashine itakayokua ina mtomba nimnunulie sio? Eee umesahau kusema mnunulie na mashine ya kumtomba ili msisumbuane
 
Kwa sababu umeshasema kila mtu akomae na imani yake kuhusu ndoa acha iwe hivyo
 
Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.

Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Na 'nyege zako' nazo pia zina 'tiba mbadala'.

Kazi yako ambayo hauwez kusaidiwa kwa vyovyote hadi uifanye mwenyewe personel ni ile hali ya kujolea ama kukojozwa.

Jambo hilo halina msaada wa kiteknolojia, mpaka ulifanye mwenyewe sawa na kujisaidia haja ndogo ama kubwa.
 
Acha ujinga wa kijima sasa elimu uliyosoma inakua imekukomboa na nini unakua na tofauti gani na asiesoma?
Ujinga ni ukosefu wa elimu.

Kwa elimu niliyonayo nadhani ninakupa mtazamo mkubwa sana ambao hauwezi ku-comprehend

Mimi kama mzazi, sitafurahi kuona nime invest hela nyingi kwa mtoto wangu wa kike ili akamfulie mtu boksa au akampikie mtu au kufanya kazi za ndani pasi na hiyari yake.

Gone are those days ambazo mwanamke mwema alikua anapimwa kwa juhudi za kufanya kazi za nyumbani.

Tuko kwenye zama mpya ambazo uwema wa mwanamke unapimwa kwenye her contribution toward acquisition of matrimonial properties au katika kuboresha maisha ya familia yake.

Kimsingi jamii ya sasa inataka patner and this is a term which is commonly used

Siyo mtumwa na mwana, a partner

SITAKUFUNDISHA TENA
 
Nakuambia kwetu hakuna huo uthenge , kwanza hakuna wapumbavu wa kuongea hivyo kama huyo .
Mtateseka sana kwenye hii dunia
Mambo yamebadilika sana
Mnahitaji kuoa wanawake wa huo vijijini kwenu walioishia darasa la saba
 
Na 'nyege zako' nazo pia zina 'tiba mbadala'.

Kazi yako ambayo hauwez kusaidiwa kwa vyovyote hadi uifanye mwenyewe personel ni ile hali ya kukujolea ama kukojozwa.

Jambo hilo halina msaada wa kiteknolojia, mpaka ulifanye mwenyewe sawa na kujisaidia haja ndogo ama kubwa.
Ndiyo maana narudia, kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoa
 
Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.

Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Na wanaume wengi wanaolalamika ni hawa wanaodhani kumiliki Washing machine ni ANASA...
 
Hakuna huyo ujinga , watawasumbua nyie washamba
Inaonekana kwenye maisha yako haujawahi kumiliki pisi kali inayojitambua

Pitia huo mtihani alafu uje hapa kwa kaka zako utuambie
 
Inaonekana kwenye maisha yako haujawahi kumiliki pisi kali inayojitambua

Pitia huo mtihani alafu uje hapa kwa kaka zako utuambie
Kwa hiyo ni mwanaume muoga , watu wanamiliki mpaka wanne , wewe mmoja anakutoa mavi
 
Kwa hiyo ni mwanaume muoga , watu wanamiliki mpaka wanne , wewe mmoja anakutoa mavi
Wewe inaonekana uko kwa shemeji yako hapo umeshashiba kiporo cha makande unakuja kusumbua akili kubwa
 
Back
Top Bottom