MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Huyo manzi anaesema hayo maneno wewe umemwelewa amemaanisha nini kwamba dildo ni muhimu zaidi kuliko mtinyama au hujamuelewa vizuri lugha yake ya picha?Kwanini nyeto Mkuu wakati namvizia demu nikamle kimasihara leo wakati Yanga tunakabidhiwa kombe letu
Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.Huyo manzi anaesema hayo maneno wewe umemwelewa amemaanisha nini kwamba dildo ni muhimu zaidi kuliko mtinyama au hujamuelewa vizuri lugha yake ya picha?
Endelea kutoamini lakini ndiyo ukweli mchunguHaya mambo sio wote , ndio maana kila jamii inatakiwa kulinda imani yake .. Mimi siamini huo upumbavu .
Acha ujinga wa kijima sasa elimu uliyosoma inakua imekukomboa na nini unakua na tofauti gani na asiesoma? Unataka kusemaje kwamba hadi mashine itakayokua ina mtomba nimnunulie sio? Eee umesahau kusema mnunulie na mashine ya kumtomba ili msisumbuaneHuyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.
Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Nakuambia kwetu hakuna huo uthenge , kwanza hakuna wapumbavu wa kuongea hivyo kama huyo .Endelea kutoamini lakini ndiyo ukweli mchungu
Kuwakamata wajinga wajinga kama mtoa madaAcha ujinga wa kijima sasa elimu uliyosoma inakua imekukomboa na nini unakua na tofauti gani na asiesoma? Unataka kusemaje kwamba hadi mashine itakayokua ina mtomba nimnunulie sio?
Na 'nyege zako' nazo pia zina 'tiba mbadala'.Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.
Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Ujinga ni ukosefu wa elimu.Acha ujinga wa kijima sasa elimu uliyosoma inakua imekukomboa na nini unakua na tofauti gani na asiesoma?
Mtateseka sana kwenye hii duniaNakuambia kwetu hakuna huo uthenge , kwanza hakuna wapumbavu wa kuongea hivyo kama huyo .
Ndiyo maana narudia, kila mtu ashikamane na kile alichokifuata kwenye ndoaNa 'nyege zako' nazo pia zina 'tiba mbadala'.
Kazi yako ambayo hauwez kusaidiwa kwa vyovyote hadi uifanye mwenyewe personel ni ile hali ya kukujolea ama kukojozwa.
Jambo hilo halina msaada wa kiteknolojia, mpaka ulifanye mwenyewe sawa na kujisaidia haja ndogo ama kubwa.
Na wanaume wengi wanaolalamika ni hawa wanaodhani kumiliki Washing machine ni ANASA...Huyo manzi yuko mbele ya muda, hayo makazi ya kitumwa tuliyokua tunawatumikisha wanawake yanasuluhishwa na technology na pesa.
Nunua mashine yakufua nguo, ajiri mpishi, ajiri dobi na house maids, hapo unabakia na kazi moja tu ya kutumikisha nyege zako.
Hakuna huyo ujinga , watawasumbua nyie washambaMtateseka sana kwenye hii dunia
Mambo yamebadilika sana
Mnahitaji kuoa wanawake wa huo vijijini kwenu walioishia darasa la saba
Inaonekana kwenye maisha yako haujawahi kumiliki pisi kali inayojitambuaHakuna huyo ujinga , watawasumbua nyie washamba
Kwa hiyo ni mwanaume muoga , watu wanamiliki mpaka wanne , wewe mmoja anakutoa maviInaonekana kwenye maisha yako haujawahi kumiliki pisi kali inayojitambua
Pitia huo mtihani alafu uje hapa kwa kaka zako utuambie
Wewe inaonekana uko kwa shemeji yako hapo umeshashiba kiporo cha makande unakuja kusumbua akili kubwaKwa hiyo ni mwanaume muoga , watu wanamiliki mpaka wanne , wewe mmoja anakutoa mavi