Kiimani na kijamii Kifo Cha gafla sio kizuriKuna jamaa namjua ameugua wakampeleka hospitali wakagundua ini na figo zina shida.
Ndugu wamehusisha tu nyumbani. Sio kwamba ni masikini kihivoo amerudishwa akiwa mzima anaongea amekaa tu wiki tatu mwili ukavimba na leo kafariki.😥
Kuleni kunyweni lakini pombe hasa bila kula ni hatari kwakweli.
Hawa majamaa sijui hawaishi na wazee vikongwe wanaopiga pombe tangu na tanguEbu tusiwe tunaleta nyuzi za kuisingizia gambe, tena naomba tuheshimiane kwa hili....Tusitishane bhana....🤨
Hivi watu wa aina hii nshawaona sana inakuaje hawaumwi figo au ini? Unakuta mtu tokea ujanani hadi uzeeni ni mleviHawa majamaa sijui hawaishi na wazee vikongwe wanaopiga pombe tangu na tangu
Dry alcohol zina tabia ya kuleta kiu ya maji.. so hao wengi wana rehydrate taka mwili zinatoka kwa mkojo.Hivi watu wa aina hii nshawaona sana inakuaje hawaumwi figo au ini? Unakuta mtu tokea ujanani hadi uzeeni ni mlevi
Hapo nmekusoma watakua wanakunywa sana maji, kwa maana hiyo bia zinadanganya tena za baridi zinakata kiu kama majiDry alcohol zina tabia ya kuleta kiu ya maji.. so hao wengi wana rehydrate taka mwili zinatoka kwa mkojo.
Embu nipe story kidogo kuhusu mgunduzi wa SigaraDeath is a common visitor....maradona mcheza soccer alikufa na 60's+ yrs ila aliyegundua fegi alikufa na miaka 116 ..life is a mysterious phenomenon.....
Fatilia wanywaji wa konyagi, ethanol na whisky hua asilimia kubwa wana maji pembeni, na sio vibonge kama wanywa beerHapo nmekusoma watakua wanakunywa sana maji, kwa maana hiyo bia zinadanganya tena za baridi zinakata kiu kama maji
Hiyo kweli aiseeFatilia wanywaji wa konyagi, ethanol na whisky hua asilimia kubwa wana maji pembeni, na sio vibonge kama wanywa beer