Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Juzi kati niliwasiliana na demu mmoja wa jf, tukakutana pale mlimani city baadae tukakubalina tutoke pamoja nikaiacha vitz yangu parking na tukatumia harrier yake. Nimefika kwake wameniteka kuna mabinti wengine 4. Nalazimishwa kuwagonga kila siku, hawataniachia mpaka wote wabebe mimba!
Nachowaza ni hatima ya ka vitz kangu tu pale parking!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina miaka 2018 na miezi 9 .
 
Makontena yangu yenye sofa yameshikiliwa kwa ajili ya kodi.
 
Back
Top Bottom