wazirib28
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 460
- 275
Huu uongo umezidi ongo zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uongo umezidi ongo zote
unatakiwa useme uwongo ww
Nina date na rihhana
Tanzania ilichukua kombe la Dunia mwaka 1981
Nalog off
unatakiwa useme uwongo ww
Traffic case hiyo. Jisalimishe "sentro "!Nimemgonga wema sepenga..!
Nachukia sana ile tabia ya familia rais Trump inapolazimisha kwamba nina ukaribu nayo.
Nachukia sana watu wenyewe hata siwajui alaf kila siku wamekomaa kunitumia watu eti niende white house kwa mazungumzo ya kifamilia