Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

mtoa mada uliwezaje kunivua ndom..? me ht ckumbuki.
 
Kwenye uzi wa Likes ,kuna jamaa zimegombana kisa demu basi kilichotokea jamaa mmoja kapandwa kaukata uzi

Unaambiwa watu wanawatafuta mods..lkn mods wamelala.

Nenden mkajishuhudie.
 
Naitwa Yohana Yosefu Pombe Makufuli

Sent using my NOKIA torch
 
Back
Top Bottom