Kila Mtu Aweke Uongo Wake Hapa

Rafiki yangu kipenzi alifariki tahr 30/2/2010 tulikuwa form two siku ya ijumaa sitasahau muda wa mazishi mamaake aliponiona alilia kwa uchungu sana yaani hadi alizimia saa hyo Mi nimeshikiliwa siwezi kusimama
 
sitaki Kwan we hujui uongo ni dhambi?

kasome amri za MUNGU
 
Tanzania ilichukua kombe la Dunia mwaka 1981
Nalog off
 
Asee me nahisi niko pekeangu nnaekumbuka siku yakwanza kuota ndevu
 
Nachukia sana ile tabia ya familia rais Trump inapolazimisha kwamba nina ukaribu nayo.
Nachukia sana watu wenyewe hata siwajui alaf kila siku wamekomaa kunitumia watu eti niende white house kwa mazungumzo ya kifamilia
 
Niko loss Angeles, c.a tuko na Dada mange , nikitoka naelekea Chicago kupanda ndege niende Texas badae ndio nageuza home
 
Nachukia sana ile tabia ya familia rais Trump inapolazimisha kwamba nina ukaribu nayo.
Nachukia sana watu wenyewe hata siwajui alaf kila siku wamekomaa kunitumia watu eti niende white house kwa mazungumzo ya kifamilia

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…