Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400
Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap?
Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04
Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400
Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo 148,940,000,000,000.00000000000000000000 m²
Na ni ⅛ tu ya eneo la dunia ndio inatumiwa na binadamu ambayo ni sawa na 18,618,000,000,000 m²
Kwahyo usishangae nikikwambia kuwa kuna miti trillion 3.04 na kila mmoja hapa anaweza kupewa miti 400 na miti mingine ikabaki
Lakin licha ya hayo ni kuwa nchi kama Singapore na Saudi Arabia nchi mwao peke wakiamua kukata miti kugawa kila mmoja hatopata mti zaidi ya mmoja
Wakati nchi ya Urusi wakiamua kukata miti yao kila raia wa urusi anaweza kupata zaidi ya miti elfu 4
Je kwa Tanzania ikikatwa miti yote tunaweza kugawana miti mingapi mingap??