Kila Mtu Duniani ana Miti 400

Kila Mtu Duniani ana Miti 400

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400

Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap?

Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04

Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400

Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo 148,940,000,000,000.00000000000000000000 m²

Na ni ⅛ tu ya eneo la dunia ndio inatumiwa na binadamu ambayo ni sawa na 18,618,000,000,000 m²

Kwahyo usishangae nikikwambia kuwa kuna miti trillion 3.04 na kila mmoja hapa anaweza kupewa miti 400 na miti mingine ikabaki

Lakin licha ya hayo ni kuwa nchi kama Singapore na Saudi Arabia nchi mwao peke wakiamua kukata miti kugawa kila mmoja hatopata mti zaidi ya mmoja

Wakati nchi ya Urusi wakiamua kukata miti yao kila raia wa urusi anaweza kupata zaidi ya miti elfu 4

Je kwa Tanzania ikikatwa miti yote tunaweza kugawana miti mingapi mingap??
 
Apa napita tu
 
Ndiyo maana somo la hesabu ni changamoto kwa wengi,
Wachoma mkaa, wachimbaji wa madini, ujenzi holela na matengenezo ya barabara n.k vyote hivyo miti inakatwa.
Hapo tunapataje miti 400 kila mmoja!!!
 
Wanatupunguzia miti yetu ukute mimi nimebakiwa na miti 200 tu.
 
KILA MTU DUNIANI ANA MITI 400

Unashangaa? Unajiuliza hiyo miti iko wap?

Ni hivi hadi 2020 dunia ilikuwa na miti trillion 3.04

Kwani ukiigawa kwa watu billion 7 inamaana kila mtu ana Uhakika wa kupata miti 400

Kama ulikuwa hujui ni hivi dunia Nzima ina ukubwa wa eneo 148,940,000,000,000.00000000000000000000 m²

Na ni ⅛ tu ya eneo la dunia ndio inatumiwa na binadamu ambayo ni sawa na 18,618,000,000,000 m²

Kwahyo usishangae nikikwambia kuwa kuna miti trillion 3.04 na kila mmoja hapa anaweza kupewa miti 400 na miti mingine ikabaki

Lakin licha ya hayo ni kuwa nchi kama Singapore na Saudi Arabia nchi mwao peke wakiamua kukata miti kugawa kila mmoja hatopata mti zaidi ya mmoja

Wakati nchi ya Urusi wakiamua kukata miti yao kila raia wa urusi anaweza kupata zaidi ya miti elfu 4

Je kwa Tanzania ikikatwa miti yote tunaweza kugawana miti mingapi mingap??
Hizi bangi, ukiambiwa ufanye sensa ya miti ya mkoa moja ni shida, sembuse ya dunia nzima !!
 
Kwahy hata huyu mtoto wangu hapa kiunoni mithili ya uji uji mzito unaovutika yupo kwenye orodha yenu.?
Akitoka akiwa anapumua tunamuhesabu maana kuna urithi ataachiwa hata na mchina atakaye poteza maisha huko Asia
 
Back
Top Bottom