Shekaina Glory
JF-Expert Member
- Jun 18, 2025
- 207
- 116
ni pesa nyingi hata hivyoDola 3 na Senti 2 kwa siku.

Hizo takwimu zenu za kupika ni mjinga tu anaweza kuziamini, mnahangaika sana kumpamba huyo Mzanzibari,chema chajiuza kibaya chajitembeza.wapi umedanywa mkuu
Ongezeni juhudi watu wa Tanga........Mtafika tu. Pigeni vita umaskini.===
Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali inayochochea zaidi ukuaji wa uchumi wa Mkoa na kuboresha ustawi wa wananchi.
Kwa mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2024, pato la Mkoa wa Tanga (GDP) limeongezeka kutoka shilingi trilioni 6.818 mwaka 2020 hadi trilioni 9.581 mwaka 2024, ambalo ni sawa na asilimia 4.7 ya pato la Taifa (shilingi trilioni 205.846).
Aidha, wastani wa pato la mtu mmoja (Per Capita Income) umeongezeka kutoka shilingi 2,783,908.00 mwaka 2020 hadi shilingi 3,433,368.00 mwaka 2024, ikiwa ni juu ya wastani wa kitaifa wa shilingi 3,204,244.00. Hii imeuweka Mkoa wa Tanga katika nafasi ya sita kitaifa katika mapambano dhidi ya umaskini na mchango wa pato la Taifa.
Uchumi wa Mkoa wa Tanga unategemea zaidi shughuli za wananchi katika sekta za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Maliasili na Utalii. Takriban asilimia 80 ya wananchi wanajishughulisha na Kilimo, Mifugo na Uvuvi, asilimia 9 na shughuli za mazao ya misitu, ufugaji nyuki na uchimbaji madini, asilimia 6 na biashara, viwanda, usafirishaji na sekta ya fedha, huku asilimia 5 wameajiriwa kwenye sekta ya umma na binafsi wakitoa huduma mbalimbali za kijamii.
tanga raha atakaye na ajeTanga raha Sana
Huu ni ushenzi na UONGO mtupu. wananchi mnawadanganya na takwimu zenu hizo za kwenye makaratasi.===
Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali inayochochea zaidi ukuaji wa uchumi wa Mkoa na kuboresha ustawi wa wananchi.
Kwa mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2024, pato la Mkoa wa Tanga (GDP) limeongezeka kutoka shilingi trilioni 6.818 mwaka 2020 hadi trilioni 9.581 mwaka 2024, ambalo ni sawa na asilimia 4.7 ya pato la Taifa (shilingi trilioni 205.846).
Aidha, wastani wa pato la mtu mmoja (Per Capita Income) umeongezeka kutoka shilingi 2,783,908.00 mwaka 2020 hadi shilingi 3,433,368.00 mwaka 2024, ikiwa ni juu ya wastani wa kitaifa wa shilingi 3,204,244.00. Hii imeuweka Mkoa wa Tanga katika nafasi ya sita kitaifa katika mapambano dhidi ya umaskini na mchango wa pato la Taifa.
Uchumi wa Mkoa wa Tanga unategemea zaidi shughuli za wananchi katika sekta za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Maliasili na Utalii. Takriban asilimia 80 ya wananchi wanajishughulisha na Kilimo, Mifugo na Uvuvi, asilimia 9 na shughuli za mazao ya misitu, ufugaji nyuki na uchimbaji madini, asilimia 6 na biashara, viwanda, usafirishaji na sekta ya fedha, huku asilimia 5 wameajiriwa kwenye sekta ya umma na binafsi wakitoa huduma mbalimbali za kijamii.
Tembelea magofu ya Pangani na tembe za Handeni na mabaki ya nymba za Mjerumani mjini ujue Tanga hakuna maendeleo tangu enzi ya Abushiri.mama anastahili miaka mingine 5
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:View attachment 3430629
===
Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali inayochochea zaidi ukuaji wa uchumi wa Mkoa na kuboresha ustawi wa wananchi.
Kwa mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2024, pato la Mkoa wa Tanga (GDP) limeongezeka kutoka shilingi trilioni 6.818 mwaka 2020 hadi trilioni 9.581 mwaka 2024, ambalo ni sawa na asilimia 4.7 ya pato la Taifa (shilingi trilioni 205.846).
Aidha, wastani wa pato la mtu mmoja (Per Capita Income) umeongezeka kutoka shilingi 2,783,908.00 mwaka 2020 hadi shilingi 3,433,368.00 mwaka 2024, ikiwa ni juu ya wastani wa kitaifa wa shilingi 3,204,244.00. Hii imeuweka Mkoa wa Tanga katika nafasi ya sita kitaifa katika mapambano dhidi ya umaskini na mchango wa pato la Taifa.
Uchumi wa Mkoa wa Tanga unategemea zaidi shughuli za wananchi katika sekta za Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Maliasili na Utalii. Takriban asilimia 80 ya wananchi wanajishughulisha na Kilimo, Mifugo na Uvuvi, asilimia 9 na shughuli za mazao ya misitu, ufugaji nyuki na uchimbaji madini, asilimia 6 na biashara, viwanda, usafirishaji na sekta ya fedha, huku asilimia 5 wameajiriwa kwenye sekta ya umma na binafsi wakitoa huduma mbalimbali za kijamii.
Yet, wananchi wake bado wamechoka ile mbaya.View attachment 3430629