Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

Ongezeni juhudi watu wa Tanga........Mtafika tu. Pigeni vita umaskini.
 
Huu ni ushenzi na UONGO mtupu. wananchi mnawadanganya na takwimu zenu hizo za kwenye makaratasi.

unasema Kila mwananchi ana 3M wakati hata hiyo 1M Kwa mwaka hakuna anayeshika isipokuwa wanasiasa.
 
ulikwenda benk na mitandao kuuliza akiba za watu.acha ufala we lucas mwashamba
hii ni wastani sio kila mtu nadhani kuna shida ya uelewa pahali
 
mama anastahili miaka mingine 5
Tembelea magofu ya Pangani na tembe za Handeni na mabaki ya nymba za Mjerumani mjini ujue Tanga hakuna maendeleo tangu enzi ya Abushiri.
 
Tembelea magofu ya Pangani na tembe za Handeni na mabaki ya nymba za Mjerumani mjini ujue Tanga hakuna maendeleo tangu enzi ya Abushiri.
hizi data ni za uongo?
 
Hapa kuna mambo matano mazuri ya Rais Samia Suluhu Hassan, yaliyoonekana wazi katika uongozi wake:


  1. Kuimarisha uchumi wa taifa – Rais Samia amesisitiza uwekezaji, maendeleo ya miundombinu, na uwekaji wa sera zinazosaidia biashara ndogo na kubwa, jambo lililoongeza ajira na pato la Taifa.
  2. Kuboresha huduma za afya – Chini ya uongozi wake, upatikanaji wa huduma za afya umeimarishwa, ikiwa ni pamoja na chanjo kwa watoto na upanuzi wa vituo vya afya vijijini.
  3. Elimu bila vikwazo – Rais Samia amesisitiza elimu bila ada kwa shule za msingi na sekondari, kuhakikisha watoto wote wanapata fursa ya elimu bora bila vikwazo vya kifedha.
  4. Miundombinu makini – Amelenga katika ujenzi wa barabara, reli ya SGR, na bandari mpya kama Bandari ya Bagamoyo, ili kurahisisha usafirishaji na biashara ndani na nje ya nchi.
  5. Kutoa fursa kwa vijana na wanawake – Amekuwa mstari wa mbele katika kuunda ajira, kukuza uwekezaji, na kuhamasisha ushiriki wa wanawake na vijana katika biashara na sekta za kimaendeleo.
 
Yet, wananchi wake bado wamechoka ile mbaya.
 
Bibianna sera za Samia zina zidisha pengo kati ya maskini na matajiri.
Unawezaje kusema Rostam anayepewa kila msaada na serikali aneemeke zaidi ni sawa na mkulima wa mihogo wa Kakonko anyedaiwa ada ya kumuona daktari na laki tatu kujifungua kwa upasuaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…