Kila mwanamke ana ndoto za kumtawala mwanaume

Kila mwanamke ana ndoto za kumtawala mwanaume

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Hii ni sababu kuu kwanini singo maza wanaongezeka kila kukicha hakuna mwanaume mwenye akili zake timamu atakubali kutawaliwa na mwanamke

Wanawake wa sasa wanataka watupindue wao ndio wawe vichwa vya familia afu sisi wanaume tuwe kama watoto .
Wapo wanawake wengine wanafika mbali wanaroga wanaume wawe chini yao yaani mwanaume huna cha kusema kwake kila kitu ni ndio
Siku ikitokea huyo mwanaume amezinduka hapo ndipo familia nyingi zinapovunjika na kupelekea masingo maza kuwa wengi
NYIE WADADA MWANAUME HATAWALIWI HIVYO VIKAO VYA SALON HAVITAWASAIDIA MTAISHIA KUWA MASINGO MAZA
 
Back
Top Bottom