Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kwanini unaulilia ukimwi na magonjwa ya zinaa?
Huko jalalani ulienda kusomea ujinga?
Hakika wewe ni Certified fool
Na vyeti vya ujinga anavyo amefaulu vizuri.
 
Vipi mkuu sura au physically appearance imekaaje maana huenda shida unayo wewe?
 
Itakuwa ubavu wako ulitolewa ukapikwa supu na Nuhu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…