Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Kila mwanamke ninayemtongoza ananikataa

Yah fanyia kaz huu ushauri mkuu
inawezekana asiwe kama unavyomdhania ila akawa amekosa kitu kimoja tu, confidence. halafu pia mtu ukiwa unakataliwa sana inaaffect akili, ukienda kumtongoza mwanamke unakua tayari umeshajikataa kabla hujakataliwa.
mi namshauri awe mchangamfu tu aweke pending kidogo swala la kutongoza, aanze kujenga mazoea ya kirafiki na wasichana then hilo zoezi la kupata mwanamke litakua simple kwake
 
Wakuu nipo katika kipindi kigumu sana katika maisha yangu,,ipo hivi

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Bachelor degree toka jalalani.Toka naanza elimu yangu ya kidato cha 5 mpaka sasa ninapitia wakati mgumu sana sana ambao sidhani kama wenzangu mnapitia. Msichana yeyote nitakaye mtongoza basi lazima anikatalie hata awe wa kawaida.Kwa kipindi cha miaka miwili iliyopita nimetongoza zaidi ya wasichana 35 na wote wamenikatalia na ikitokea mmoja ameonesha nia basi kwenye kufanya mapenzi atakua mkali na kusema hana hisia na mwishowe habari inaishia hapo. Hadi jana nimetongoza na jibu limekua lile lile NO NO NO. Nimejaribu mbinu zote hadi za pesa lakini wapi hada pale jalalani penye maua mengi na shida nyingi kwa hayo maua ya kifedha lakini imeshindikana. Sina tatizo lolote kimuonekano hilo nawahakikishia na kama mtu anahitaji kufahamu hilo anichek pm.Naombeni msaada wenu wana j.f wote kwa ujumla kama kuna mtu kapitia hili janga na alilimaliza vipi maana sasa naona hali imekua mbaya zaidi
Yani kama huna sifa zinazokera (mijisifa, kuongea kwakupitiliza, kulopoka lopoka, n.k) basi kitaani kwako ushapigwa kinyamkera
 
Nme sikitika sana Kweli una maisha magumu Wale buku mbili 2 vp.. uwa hawakatai jarbu ao..naisi ndo level zako
 
Hafungui kwani anaogopa hata kukujibu swali lako la kwanza. Ni dalili za "domo zege". Atakununulia soda baasi hadi unywe soda 6 bado hata jina lako hajakuuliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna mazingira kuwa hujiamini na wewe mwenyewe unajikataa kitendo tu cha kukiita chuo ulichosoma ni jalala ni dalili ya kujikataa hivyo wanawake wenye akili hawawezi kupenda mwanaume anayejikweza na kujiona mnzuri kuliko wao.
jifanyie SWOT kisha rudi tena.
Mkuu, Strength Weaknesess,Opportunities na Threats nishazitathimini na kuona hamna jambo lolote la ujuaji na kujiona zaidi ya kua normal kama viumbe wengine,,nadhani kuna something extra
 
inawezekana asiwe kama unavyomdhania ila akawa amekosa kitu kimoja tu, confidence. halafu pia mtu ukiwa unakataliwa sana inaaffect akili, ukienda kumtongoza mwanamke unakua tayari umeshajikataa kabla hujakataliwa.
mi namshauri awe mchangamfu tu aweke pending kidogo swala la kutongoza, aanze kujenga mazoea ya kirafiki na wasichana then hilo zoezi la kupata mwanamke litakua simple kwake
Nashukuru kwa ushauri mkuu,ila hayo yote nimeyafanya na nilikua bench karibia mwaka mzima na nikazoeana wasichana wengi sana ila nilipo anza tu mtongozo,NO zikaanza
 
Kwani unahisi mapenzi ni sura bro?ebu zinduka ndotoni bwana.Kwanza kupenda au kupendwa sio lazima wewe tafuta pesa tu.
Sio sura bro,ila katika hao 35 kuna wengine wangevutiwa hata na kimoja wapo ila hakuna
 
Hafungui kwani anaogopa hata kukujibu swali lako la kwanza. Ni dalili za "domo zege". Atakununulia soda baasi hadi unywe soda 6 bado hata jina lako hajakuuliza
Daaah,mm sipo hivyo mkuu na sijasema mm domo zege.Domo zege unamjua kweli?unawezaje tongoza mademu zaidi ya 35 tena kwa confidence yote afu uwe domo zege
 
Back
Top Bottom