Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Huyo ni mfanyabiashara na mpk anafikia hatua ya kukueleza hayo tayari kashakuona wewe ni MTEJA
 
The bad thing ni kua inawezekana toka ulipo na miaka 19 unagongwa na wanaume hovyo hovyo,unadhani ni easy huyo mwanaume unayesema wa level yako kuoa mwanamke used?,
Ila kama toka una miaka 19 haugongwi,yes upo sahihi,ndoa haina maana kwako
Kuna maneno mwanamke akiongea unajua tayari kuwa yupo stage gani ya Maisha.

Kwa huyu bi dada anaonekana yupo denial stage, anakataa ukweli kuwa umri wa ndoa umeshazaa kumpungia mkono wa bai bai.

Usishangae atafika miaka 38+ akisema mimi ndoa nikitaka hata kesho naolewa.

Sizitaki hizi mbichi. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kuthibitisha hii kauli yako?
Kabisa. Nenda hapo mtandaoni google haya maneno "7 deadly sins" tafuta inayoitwa Vanity (also Pride or hubris )halafu soma maelezo yake kisha tazama namna wanawake wanatumia mitandao ya kijamii kama Instagram, TikTok, Facebook, X, only fans, etc.

Ushawahi ona mkao ule wa rabbit pose au bunny (binti anapiga picha tumikono ameweka kama sungura na sura ya sugura) that signifies alliance with the playboy culture?

Anyways, ipo hivi, matendo ya mwanamke anapokataa kufuata maandiko na kwa dhamira ya wazi kabisa akasema mimi sifanyi hivi wala vile kama maagizo ya MUNGU yanavyotaka, means ni kuside na kutii upande wa nani hata kama hajatamka kwa kinywa?

Tazama hicho kipozi hapo unambie haujawahi kukiona popote.
 
Kuna Acc moja insta ya mbele ina potosha jamii kwa kupinga nadharia yako hiyo...inadai kuwa anal sex in a proper way they cant destroy you in any condition
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia ya sasa kuna wajinga ambao wanaamini ujinga wao ni knowledge mpya wakati jamii imeshatoka huko na yote wanayofanya ni marudio ya ujinga ule ule ambao uliangamiza jamii nyakati hizo na sasa wanarudia sababu wamechagua kuwa wajinga.
 
Watu wengi sana hasa waafrika watanzania,

They have a clear idea on how other people should lead their lives but none about their own life.

Ndio maana watanzania wengi hujiangaisha sana kufuatilia maisha ya wengine huku ya kwao yakiwashinda.
Its either you are an illiterate individual or you have chosen to ignore the fact that us , humans, are social beings and therefore in being so whe have inheritedly been born with an internal need to associate and enforce relationships with other humans for survival. In doing so, we find ourselves in a constant struggle to conduct ourselves in such manner that calls for a similar but uniform culture of existing in behavioral patterns that will allow us to act in a way that brings less distraction and disintegration and doesn't compromise our future wellbeing.
 
Ooh sijajua kwanini umeamua kutumia mfano huu wa kifaa ambao mostly muundo wake ni wakibiashara so the more kinavyotumika ndio the more kinavyopoteza ufanisi so probably siwezi kununua kifaa used kwa bei sawa na ya dukani wakati najua tayari kimeshatumika sana so ufanisi wake uko mashakani.

So mfano wako ukiuleta kwa upande huu utaingia kwenye upande wa umri maybe ila mimi sikuingia kwenye engo ya umri bali ya experience ndio maana ukiniletea dereva ambae ametoka kuhitimu pale NIT na yule ambae alishahitimu na akaifanyia kazi elimu yake kwa zaidi ya miaka kadhaa na akaanza kunihadithia ajari kadhaa ambazo aliwahi kuzipata akiwa kwenye majukumu yake basi mimi nitaenda na yeye bila kujali ya kwamba alishaangushaga gari coz naamini kwenye hizo ajari alizowahi kuzipata zimempa funzo na kumkomaza kama dereva.

Kwahiyo ni experience mkuu na sio uchakavu, coz wadada wengi wenye hizo tamaa tajwa hapo juu ni wale wa 20s ila wengi wakishaingia kwenye 30s akili zinawakaa sawa na wale wanaowahi kuolewa kwenye hiyo age ya 20s ndio huwa hawatabiriki ni lini watakengeuka kutamani kuyaishi hayo maisha tajwa hapo juu maana kuna wengine wanaweza kuacha familia zao hata 40s na wakaenda kuhangaika na maisha yanayofanywa na wajukuu zao heheheee.
 
Huu uzi una husiana vipi na muandishi kuwa mwanamke?

So kwa hii logic yako, ni kwamba ili daktari aweze mtibu mtu wa gonjwa fulani hatari anatakiwa kwanza yeye aumwe ndipo aelewe namna ya kuutibu huo ugonjwa?

Are you trying to be smart here?

Another thing, am not being general here, am being contextual.
 
Watanzania ni watu wa kupenda kupangia wengine maisha na kutaka kuwa washauri na wasemaji wa maisha ya wengine.!!
So, let me ask you something, wewe unavyoishi hapo, hayo mazingira yanayokufanya upate mahitaji yako ya msingi kama hewa safi, utulivu hadi unalala kwa amani kunakucha, maji safi na salama ya kunywa na kuoga, you think ni outcome ya watu kuignore everything na kuchagua maisha ys kutofuatilia misconduct za wengine?

Two things you are displaying here, first is your ill will to question the good social norms,morals and conducts and secondly, your irresponsibility as a civilian to notice and paying heed on the morally wrongs of your own kind that totally raze the woman's value and standards in the society.

Have some class, its worth it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…