Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

You have coupled several logical fallacies here.

1. Logical non sequitur. Just because people in your small town drink heavily, that does not mean people in that country are walevi.

2. It is also a hasty generalization logical fallacy.

3. You have also introduced a strawman argument fallacy that I do not seem to notice anyone drinking around me. That is not my objection, my objectionnis you can't possibly observe every modern woman in the world.

You just made shit up.
 
Ulikuwa haujawahi kuona miaka ya nyuma kabla ya neno mgane kutumika, wanaume waliofiwa na wanawake zao walikuwa wanawaitaje?

unaandika vitu mwenyewe, ukiulizwa unakuja na mambo mengine.
 
Hajapitia, aliolewa mapema na kutulia mapema hadi sasa yupo ndoani respectfully.

Unajiskiaje kujibiwa kistaarabu ukitegemea matusi. Grow up. Mimi sio teenage mwenzako.
Kabla ya kuolewa una uhakika gani hakupitia hayo uliyoyaandika?

Tena inaonekana alikuwa wa moto balaa
 
You see now where me na wewe we don't seem to understand?

Mimi nipo in a small town and everyone around me ni mlevi, so nikisema watu inchi hii ni walevi, my point is valid Sababu that's what's around me 24/7. Wewe hauoni ninachokiona una question at the national level which you dont see what i see.


Mimi nikitazama social media na networks, mitaani, viwanja na sehemu ninyi ninazopita naona hicho nilichoandika wewe unakuja nibishia yet we don't use the same phone, you don't hang with me, you are not around my environment yet you have the audacity to question my observation. [emoji848]

What makes you valid and me invalid? [emoji848]
 
You sound woke and definitely delusional. Sasa ni swali gani hili unaniuliza kuwa nimeoa au kuolewa na huelewi jinsia yangu ni ipi?

Hivi kama umefeli kung'amua hilo ungewezaje kuelewa hoja zangu? [emoji848]

Please be gone.
Jinsia kwa ulimwengu huu inatakiwa mhusika aitamke au kuiapia....wanaume wanaolewa na wanawake wanaolewa vice versa is true......

Anyaway kwahiyo unataka hoja yako ishinde????Basi acha ishinde sababu mjinga na mpumbavu hupewa ushindi ambao hauna tija!
 
14. Kubadilishwa sheria ya ndoa iwe ya mkataba badala ya ndoa kuwa kifungo cha maisha. Hii itasaidia mwanamke kuvunja mkataba pale anapoolewa na jianaume "ngumi mkononi".

15. Uhuru wa mwanamke kuoa mwanaume mmoja au zaidi ya mmoja (mitala). Hii itasaidia mwanamke kuwa na uhuru wa kufanya machaguo ya wanaume anaowapenda kwa uhuru zaidi.
 
Umesema "kila mwanamke wa kisasa" wqkati hata hiyobsocial media huoni yote.

You are a troll.
 
Sijui umetaka kuongea nini, and maybe ningejua upumbavu upo eneo gani but sijakuelewa mzee, so if hauwezi kujenga hoja fanya kama unapotezea.
 
Sijui umeongea nini mzee. Mwanamke anaoa vipi? Halafu kama haujui uwe unauliza, mwanamke au mwanaume akifanyiwa ukatili ndoani serikali huwa na mamlaka ys kuvunja ndoa, so sheria ipo ni wewe tu haujui unachoongea. Hebu nenda kalale kama hauna hoja.
 
Umesema "kila mwanamke wa kisasa" wqkati hata hiyobsocial media huoni yote.

You are a troll.
Kwahiyo nikikuta kundi la Wanaume 100 wamesimama sehemu wamevaa mavazi tofauti tofauti ikiwamo mashati,fulana na suti nikasema kila mwanaume mwanaume aliyevaa fulana anifuate, nitakuwa nimesema wanaume wote wanifuate au? [emoji848]
 
Sijui umetaka kuongea nini, and maybe ningejua upumbavu upo eneo gani but sijakuelewa mzee, so if hauwezi kujenga hoja fanya kama unapotezea.
Hoja zako ni za hovyo umekua na hoja za kijumla kwa jinsia ya kike katika tuhuma zako, harafu umeshindwa kujenga hoja ambayo ina balance atmosphere ya kijinsia....

Wewe ni wa hovyo...fahamu kuwa wabakaji na wanajisi ni wanaume zaidi ya wanawake....

Sasa je umalaya ambao ni tendo la hiyali unaweza zidi uharamu na jinai zaidi ya Ubakaji na unajisi??!!! ambao kwa takwimu unafanywa zaidi na wanaume.....????
 
Yes.

The problem is you don't think, you stink.
You are getting emotional a perfect indicator that you're characterized by feminine elements in your composition that makes your vulnerable when subjected to extreme higher frequency of thinking that requires logical processing.

You are not an Alpha masculine male you are a Beta emasculated male.

We can't have this conversation you are totally unable to withstand and control your emotions.
 
Hakuna haki nnayoiminya mkuu isipokua natenda haki coz mimi pia sijadate na mwanamke mmoja bali nimedate nao kadhaa na sijawaoa na unadhani hawatoolewa?

Basi kutokana na hiyo sijawahi kujiwekea hayo matarajio ya kuoa huyo bikra kwanza sina mpango kwa maana wewe mwenyewe umekiri kwamba huwa wanafikiaga sehemu wanatamani kujaribu jaribu mambo sasa wataka aje atest test nikiwa nimeshamuoa? Mbona haunitakii mema mkuu.

Na sijaassume kwamba kila mwanaume anaeoa anaoa mwanamke asiye bikra ila nimekwambia sikuizi watu kuoa wanawake ambao sio bikra ni jambo la kawaida mno na tunaona wanadumu kwenye ndoa zao kama kawaida.

Uamini take your time, chukua rafiki zako hata kumi ambao wameoa na ufanye kasimple research ujue kama wake zao waliwakuta nayo au walikuta tumeshaitoa? Then utuletee mrejesho.

NB: hakikisha hao rafiki zako bado wapo kwenye generation Y angalau, usije ukaenda kuwahoji wazee sasa hahahaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…