Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

You are a troll that's not worth my shells.

Straight to my ignore list.

I will not see any of your subsequent posts.
 
So wapi nimeongelea ubakaji mzee au umeamua tu kugombana na mimi bila sababu? [emoji848]
 
Kimsingi umechagua nafasi yako Kwenye jamii kuwa utatumia wanawake wa aina gani and you are okay with that. Sasa Mimi sijakulazimisha uwe tofauti kama nilichokiongea kwako umekiona ni ukandamizaji.

Kuwa na mwanamke ambaye sio bikra ni choice kama vile ukiamua kudeal na mwanamke bikra tu.

So vyovyote ambavyo unaona kwako imekaa sawa am good too am not conflicted at all. But uzi wangu haukuwa ukielekea njia hiyo unayouvuta.

So am sorry naomba kurudi njia kuu.
 
You are a troll that's not worth my shells.

Straight to my ignore list.

I will not see any of your subsequent posts.
Finally you have just figured a best decision to make. Get gone and be gone for good. Sasa ulitaka nikubembeleze kusoma nyuzi zangu? Ebo.

I will gladly put you on my ignore list too so that you won't irritate me with your Simp energy.
 
Kaka, HAKUNA asiyetaka au kutamani kufanya maovu (uzinzi, uasherati, ufisadi, uchawi, ulozi, ufiraji , husuda na mengine yote yalotajwa na MTUME PAULO-WAGALATIA 5:19-21). Hata hivyo, mwili (binadamu) unao uwezo wa kujizuia kupitia roho wa MUNGU (utashi). Isingekuwa hivyo, maovu yangekuwa mchanga wa bahari kwa wingi. Hakuna asiye na tamaa asilani ila self discipline ndiyo hutuzuwia kuufuata moyo muda wote.
 
Tuanze na... Uzinzi...
Mi Nina demu wangu...nimemla...kosa langu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…