Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

Nina mahusiano nae...na mi ni mwanaume wake...jibu swali...kosa langu ni lipi
Ulishajijibu kwa kutamka "demu wako" badala ya mke wako. Huyu binti kama hujamuoa kimila au kidini au kiserikali, bado yupo chini ya kongwa la wazazi na huna maamuzi juu yake. Unasema ni wako mkiwa mmejificha peke yenu huko kajificheni. Hebu nenda nyumbani kwao na uoneshe mbele ya Kaka au Baba yake kuwa wewe ndo unambandua, hapo ndipo utashuhudia wivu wa Baba kwa binti yake na wivu wa Kaka kwa Dadake. Katika MWANZO 34, Jiji lilifutwa kwa wivu tu. Kingine ni kuzingatia kanuni za kawaida za maadili katika jamii zetu ili kuzilinda tunu za Taifa letu.

PILI, hata kama huyu demu wako ana miaka 60 na anajitegemea; kwa bahati mbaya akakata kamba unao uwezo wa kushughulikia maziko yake? Ndugu zake tu ndo watakaohusika na kila kitu na wewe utakuwa ni jirani tu aliyehudhuria msibani.

Kosa lipo na DHAMBI ni hiyo.
 
Temana na mimi. Unaleta pigo za kiwaki halafu unataka uonekane mwanaume.
We chupi tu husumbui.

Unaniletea u slay queen hapa na vi broken vyako.

Shauri zako mi sichekeshi fala wewe.
 
Siku utapoona connection ya mdogo ako wa kike akiliwa kiboga baada ya kuleweshwa pombe ndio utakapoelewa
Pata kwanza ajira ndio utaelewa utamu wa pesa, ukiwa huna pesa lazima uwe mtu wa makasiriko na kujilalamikisha 😂
 
Hawa ndio wanafanya ulimwengu unakuwa na mambo ya hovyo, watu wenye maadili wakikemea wanaleta ligi, ila waulize wanafanya nini kukemea uovu, ni maziro brain tu yanayo manga manga hapa mjini.

Huyo unaweza kuta anabaka hata watoto huyo.
Inaonesha maisha yamekuchakaza sana, unakemea uovu kwa watu wazima wanaotumia miili yao 🤣🤣🤣🙌
Ukiwa huna hela min skirt utaona ni ukahaba wakati ni vazi ofisini lol😂
 
Piga spanner hawa wa kisasa, then Dj walete na wakienyeji 🤣🤣😂
 
Inaonesha maisha yamekuchakaza sana, unakemea uovu kwa watu wazima wanaotumia miili yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ukiwa huna hela min skirt utaona ni ukahaba wakati ni vazi ofisini lol[emoji23]
Acha ulimbukeni wa maisha. Unahisi kila mtu ana shida kwasababu anakuja kuleta kero au maoni yake hapa mtandaoni? [emoji848]
 
🤣🤣🤣Eti mafichoni....watu wangapi mpaka wanazalisha wanawake na wazazi wanajua na wanakaa nyumba moja na hawajaoana....unaongelea ndoa...ndoa ambazo wanawake wanatoka na vitoto na wanaume wanafira wanachuo. Ndoa ambazo kila kukicha Kuna Uzi za "mke wa mtu ananitaka nimbandue au la"...
🤣Kama ndoa ndo kummiliki mtu nitwishe... Kuna watu wengine wana mahusiano mazuri tena watoto wa secondary kuliko ndoa zenu hizi...ndoa mnafungia kanisani kesho kutwa unakuta mme wa mtu club saa nane usiku kwenye gari anakula ndogo ..
Tuweni serious.
Bado hujaelezea kosa langu ni lipi mi na demu wangu kutumia miili yetu tulivyokubaliana bila kumuuzi mtu. Mambo ya jiji kufutwa cjui ni hekaya za abunuasi hizo tushazikataa..
 
Cha kushangaza, Hao mabinti walioko kwenye hoe phase ndo wanaenda sana church na kujinasibu ni watu wa mungu. Wanatumia dini kama kichaka cha kuficha maovu yao, ila deep down kila uchafu wanafanya. Hizi dini zinatumika vibaya, bora tukomae na Mila/Desturi zetu
 
Vp kqmq hakufikq
Mwanamke akiamua kuifata dunia usishindane nae mwache azunguke nayo
Ni hatari sana kwa sasa kuoa mwanamke ambae ameruka stage atakuja zibukia kwenye ndoa kufanya yale aliyotakiwa kufanya akiwa form two
form two
 
Mila na desturi ndizo zina nguvu ya kudhibiti huu uovu. Dini zinawalea sana.
 
Hatua ya muhimu kupita zote, ambayo mwanamke hapaswi kuiruka! Unapaswa kuiishi....

Ni HESHIMA!.....Heshima kwa mwanaume yeyote yule!

Fanya upumbavu wote ulimwenguni, umalaya, ukahaba,uaesherati,uzinzi rukaruka uwezavyo!

Lakini usisahau kuiishi hii hatua ya heshima! Kwa mwanaume yeyote yule.

Heshima ni Coating ya majeraha na mawaa yako yote! uliyoyapitia/uliyoyafanya...pindi tu utakapoamua kuachana na yote na kuwa mtu mpya.

Ukimheshimu mwanaume...umeishika dunia yake,...unatembea na dunia yake...

Ni vigumu saana kumuomba mwanaume mnaeheshimiana... akufanyie kitu halafu akatae...

Hata kama liko nje ya uwezo wake..atalifanya ili akuridhishe.. kuilipa gharama ya heshima yako kwake.
 
Umesema ukweli sana. Ndio maana mabinti wa sasa wanashangaa na kujiuliza kuwa mbona mama zao miaka ya nyuma wakiwa wameshapata watoto kutoka mahusiano ya awali waliweza kufanikiwa haraka sana kupata ndoa na kudumu hadi uzee unawafika?

Wao kwa upande wao ingawa hawajawahi kuolewa au hata kuwa na mtoto au watoto mbona wanaachika haraka sana na hawadumu kabisa katika ndoa wanapofanikiwa kufunga ndoa.

Na wakiwa na watoto ndio kabisa wanaume wanawakwepa kama mgonjwa wa ebola.

Siri ni Heshima na Utii. Aliyewadanganya hapa ndie amewapoteza na kuwaingiza chaka. Watajifunza ila itakuwa too late. Mwanamke ambaye ana utii na heshima na kutambua kuwa mwanaume ni kiongozi wake na anatakiwa kuwa chini ya mamlaka yake tayari anakuwa ameshajiweka akilini na moyoni mwa mwanaume.

Zamani mwanaume anasafiri anaacha mke nyumbani na hana wasi wasi wowote akiwa mbali sababu mwanamke anasimamia majukumu ya familia. Now days, kaa na mwanamke mbali hata kwa kwenda mjini kwenye mishe unarudi usiku utakuta bodaboda,dereva wa uber,bosi wake wa kazi,yule mume wa mtu anayefanya kazi bank na kadhalika wamemla wamekuachia mifupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…